Walimu wa vyuo vikuu wapunguziwe mamlaka kwa wanafunzi wanao wafundisha

mayange

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
701
Reaction score
198
Ndugu wanajamvi naeleza haya kwa masikitiko makubwa sana kwa tabu zinazowapata baadhi wa wanafunzi vyuoni.

vyuoni kuna baadhi ya walimu wanawafelisha wanafunzi kisa wanafunzi hao wameshindwa kukubaliana na matakwa ya mwalimu. Mfano unakuta mwalimu anamtaka mwanafunzi wakike mahusiano ya kimapenzi akikataa basi huyo mwalimu anaweza kushawishi na walim wenzake kumfelisha huyo dada.

cha kushangaza mwalim huyo kaoa lengo amchezee huyu mwanafunzi kisha amuache na akigundua huyu dada ana boy friend wake chuon basi huyo ndo atapata tabu kweli.
Mda mwingine wanafunzi wale wanao onekana kudai haki zao kwa kuboreshewa mazingira yao ya kuishi na kusoma hupata matatizo kweli wengi kuonekana wafeli masomo ambapo hawatoweza kuendelea na chuo kumbe kafelishwa.
je serikali haijaliona hili? Kwani hawa walimu wamekuwa miungu watu? Haki ikowapi? Nasikia kuna mwanafunzi mmoja machachali sana chuo kimoja huko morogoro Rais wa serikali ya wanafunz kafeli masomo yake na kutoendelea na masomo yake, cha kujiuliza kafeli kihalali?
 
Tatizo la chuo kimoja ndiyo unalileta hapa? Halafu hayo ni mamlaka?
 
Ndugu wanajamvi naeleza haya kwa masikitiko makubwa sana kwa tabu zinazowapata baadhi wa wanafunzi vyuoni.

vyuoni kuna baadhi ya walimu wanawafelisha wanafunzi kisa wanafunzi hao wameshindwa kukubaliana na matakwa ya mwalimu. Mfano unakuta mwalimu anamtaka mwanafunzi wa kike mahusiano ya kimapenzi akikataa basi huyo mwalimu anaweza kushawishi na walim wenzake kumfelisha huyo dada.

cha kushangaza mwalim huyo kaoa lengo amchezee huyu mwanafunzi kisha amuache na akigundua huyu dada ana boy friend wake chuon basi huyo ndo atapata tabu kweli.
Mda mwingine wanafunzi wale wanao onekana kudai haki zao kwa kuboreshewa mazingira yao ya kuishi na kusoma hupata matatizo kweli wengi kuonekana wafeli masomo ambapo hawatoweza kuendelea na chuo kumbe kafelishwa.
je serikali haijaliona hili? Kwani hawa walimu wamekuwa miungu watu? Haki ikowapi? Nasikia kuna mwanafunzi mmoja machachali sana chuo kimoja huko morogoro Rais wa serikali ya wanafunz kafeli masomo yake na kutoendelea na masomo yake, cha kujiuliza kafeli kihalali?

MKUU nimekosa kujua hoja yako ni nini. Ni Msichana mmoja kunyanyaswa kijinsia au ni kiongozi wa wa wanafunzi ambaye ni Machachali (natumai Machachari) kufeli?. Mkuu umesawahi kusoma Chuo Kikuu? Hebu angalia pekundu. Analysis yako imekaa ya Kijiweni zaidi na ya kisomi. Wewe ndo Msemaji wa hao wanafunzi au wewe ndo mwenyewe umefeli? Na kama wewe ni Machachali (whatever it means) unategemea nini?
 
Radhia Sweety usijibu tu kama unaimba taarabu.jaribu kuelewa hoja kwanza kabla ya kuongea. au wewe umeishia la saba? ni kweli walimu hawa ni wapuuzi sana na wengine hawana uwezo.akitokea mwanafunzi akawa anamchallenge mwalimu anafelishwa. hili ni tatizo halisi kabisa
 
Ndugu wanajamvi naeleza haya kwa masikitiko makubwa sana kwa tabu zinazowapata baadhi wa wanafunzi vyuoni.

vyuoni kuna baadhi ya walimu wanawafelisha wanafunzi kisa wanafunzi hao wameshindwa kukubaliana na matakwa ya mwalimu. Mfano unakuta mwalimu anamtaka mwanafunzi wakike mahusiano ya kimapenzi akikataa basi huyo mwalimu anaweza kushawishi na walim wenzake kumfelisha huyo dada.

cha kushangaza mwalim huyo kaoa lengo amchezee huyu mwanafunzi kisha amuache na akigundua huyu dada ana boy friend wake chuon basi huyo ndo atapata tabu kweli.
Mda mwingine wanafunzi wale wanao onekana kudai haki zao kwa kuboreshewa mazingira yao ya kuishi na kusoma hupata matatizo kweli wengi kuonekana wafeli masomo ambapo hawatoweza kuendelea na chuo kumbe kafelishwa.
je serikali haijaliona hili? Kwani hawa walimu wamekuwa miungu watu? Haki ikowapi? Nasikia kuna mwanafunzi mmoja machachali sana chuo kimoja huko morogoro Rais wa serikali ya wanafunz kafeli masomo yake na kutoendelea na masomo yake, cha kujiuliza kafeli kihalali?
Funguka zaidi,vinginevyo husomeki ... inaonekana una point ila umeshindwa kuiweka sawa sawa
 
Yawezekana una point lakini ni chuo gani???
College ipi na idara gani???!!!
Unatumia fake id lakini hata haya pia huwezi kutaja achilia mbali jina la muhusika/wahusika????!!!
 
Radhia Sweety usijibu tu kama unaimba taarabu.jaribu kuelewa hoja kwanza kabla ya kuongea. au wewe umeishia la saba? ni kweli walimu hawa ni wapuuzi sana na wengine hawana uwezo.akitokea mwanafunzi akawa anamchallenge mwalimu anafelishwa. hili ni tatizo halisi kabisa

Tatizo la chuo kimoja haliwezi kuwakilisha vyuo vyote. Halafu kitendo cha mwalimu kumfelisha mwanafunzi hakina uhusiano na mamlaka aliyopewa mwalimu husika. Mamlaka gani yanayosema mwalimu amfelishe mwanafunzi? Hiyo ni tabia ya mwalimu mmoja mmoja. Umeelewa we boya?
 
chunguza tena unachosema sweety! hayo mamlaka aliyopewa ndo huwafanya hata wanapoonea watu wanakinga. mfumo wenyewe wa kushughulikia jambo kama hilo ni very beauractratic.
halafu hili tatizo lipo vyuo vyote na walimu wengi wanalo.so ongelea hoja badala ya kuleta vijembe
 
Mkuu ni kweli kabisa,

Hata mimi ni muhanga wa hili swala, nilisoma chuo kimojawapo ambacho Tawi kuu (Main campus) lake ni morogoro, na

kina tawi kule Mbeya, nilisoma Sheria pale, lakini tulichokipata mwaka wa mwisho sitakisahau maishani mwangu hadi naingia kaburini, Makamu mkuu wa chuo alikuja kututembelea pale chuoni, tukawa katika mkutano wa pamoja, mwanafunzi mmoja akauliza swali kuwa" mkuu wa chuo hapa chuoni kwetu hatuna vitabu hasa vya Private International Law" hasa kwetu sisi mwaka wa Tatu, kilichopo ni kimoja na ndo mwalimu anatumia kufundishia, mkuu wa chuo akaahidi kuwa mara tu akifika morogoro vitabu vitatumwa haraka"

kumbe mle darasani kuna demu wa mwalimu, akampigia simu mwalimu huyo na kumwambia kuwa, "yaani leo LLB wamekusema kwa VC kuwa huwa hufundishi na unawatukana sana ukiwa darasani" dah!! kesho yake mwalimu huyo akaja darasani akasema " nasikia mmenisema kwa VC. mtaona!!

kweli, Individual assignment mtu wa kwanza alikuwa na 5 ya 15, group assigment ikawa mbaya zaidi,

wanafunzi wa LLB tukakaa kikao kujadili hili swala, lakini haikusaidia kwani kila mwalimu alikuwa ametuchukia siyo principal wala nani!!

ndugu yangu matokeo yalipotoka, Supplimentary zilikuwa 154, kuna watu tulikuwa hatujapata supplimentary toka tumeingia chuoni na GPA zetu zilikuwa kuanzia 4.4 lakini semester moja tu tulipata supplimentary 4 yaan ilikuwa bado supplimentary 1 tu mtu U-disco, kwa kweli nasikia uchungu sana hata ninapoandika hivi.

kwa kweli mwalimu TASCO, MAKAFU, KAMRU, wa chuo hicho sitawasahau.
 
we kinachokushinda kutaja mzumbe ni nini? nyie wanafunzi ndo mlikua vihereehere. na habari yako umeipindisha kuficha ukweli..tatizo lenu weng LLB mlikua mnakesha na kushinda bar halafu mnalazimisha kupata A nani aliwaambia mzumbe ni casino?
 
Nyie wenyewe mlikuwa mamburula tu. Hamna cha kufelishwa wala nini.
 
mtu akifeli anafeli tu. kama ameonewa kuna sehemu za kukata rufaa. binafsi nafundisha chuo. chuoni ni watu wazima ambao nina uhakika wanajua taratibu kama wataonewa. hawa viongozi wa vyuo wengi hujsahau na hujiona kama wako juu ya sheria kwa sababu eti ni viongozi wa wanafunzi. kiongozi unayemsema ni rais wa chuo cha kilimo. amefeli masomo mengi kwa nini asidisko.
ifike wakati tuache kulalamika bali tuchukue hatua. ni rahisi sana kumkaba mwalimu akikuonea na pia sio rahisi walimu wa kozi zote wakakuone. chukua hatua acha kulalamika mkuu
 
we kinachokushinda kutaja mzumbe ni nini? nyie wanafunzi ndo mlikua vihereehere. na habari yako umeipindisha kuficha ukweli..tatizo lenu weng LLB mlikua mnakesha na kushinda bar halafu mnalazimisha kupata A nani aliwaambia mzumbe ni casino?

Mkuu si kweli, ina maana kwani mtu akishinda bar ndo anafeli? kwa nini first and second year hatukufeli kwa kiwango hicho? shida c kupata "A", cha msingi haki itendeke, kwa taarifa yako, MUNGU NI MKUBWA SANA, Demu wa aliyekuwa Director pale naye "AME-DISCO LAW SCHOOL" Mungu wa sasa anavaa bukta, ila tunashukuru kuwa wengi tuli-graduate hata baada ya ku-resit paper, ila wengine akiwemo mtoto wa makamba aliyetoboa siri ya huyu Director kuwa na uhusiano wa kimapenzi na huyu dada yeye alinga'nga'niwa hadi mwisho sasa hivi sijui yupo wapi??????????/
 
wammbie hao dada. wanapenda sana kulalamika wakati hawajiwezi darasani. mtu akifeli ili kondoa aibu lazima atafute sababu, oh nimeonewa au sijui nini. si rahisi walimu wote wa kozi za degree yako wakakuonea kama una uwezo mzuri darasani
 
Nyie wenyewe mlikuwa mamburula tu. Hamna cha kufelishwa wala nini.
ammbie hao dada. wanapenda sana kulalamika wakati hawajiwezi darasani. mtu akifeli ili kondoa aibu lazima atafute sababu, oh nimeonewa au sijui nini. si rahisi walimu wote wa kozi za degree yako wakakuonea kama una uwezo mzuri darasani
 
naomba nikukatishe sijui umesoma chuo gani ila chuo nilichosoma mimi(udsm) kubwa ni watoto wa kike kuwataka walimu kimapenzi ili wapewe marks za bure kuliko walimu kuwataka watoto wa kike!!
 
Nyie wenyewe mlikuwa mamburula tu. Hamna cha kufelishwa wala nini.

kwa taarifa yako, hadi sasa tupo wanafunzi 10 tumeajiriwa vyuo vya serikali tunafundisha, pamoja na kupata misuko suko mingi ya kufelishwa lakini tumeajiriwa na vyuo vya serikali, wenzetu wengi sana kama 50 ni mahakimu pamoja na kufelishwa, utatupenda tu. Cc Radhia sweety.
 
hujielewi wewe!!
 
Back
Top Bottom