Ndugu wanajamvi naeleza haya kwa masikitiko makubwa sana kwa tabu zinazowapata baadhi wa wanafunzi vyuoni.
vyuoni kuna baadhi ya walimu wanawafelisha wanafunzi kisa wanafunzi hao wameshindwa kukubaliana na matakwa ya mwalimu. Mfano unakuta mwalimu anamtaka mwanafunzi wakike mahusiano ya kimapenzi akikataa basi huyo mwalimu anaweza kushawishi na walim wenzake kumfelisha huyo dada.
cha kushangaza mwalim huyo kaoa lengo amchezee huyu mwanafunzi kisha amuache na akigundua huyu dada ana boy friend wake chuon basi huyo ndo atapata tabu kweli.
Mda mwingine wanafunzi wale wanao onekana kudai haki zao kwa kuboreshewa mazingira yao ya kuishi na kusoma hupata matatizo kweli wengi kuonekana wafeli masomo ambapo hawatoweza kuendelea na chuo kumbe kafelishwa.
je serikali haijaliona hili? Kwani hawa walimu wamekuwa miungu watu? Haki ikowapi? Nasikia kuna mwanafunzi mmoja machachali sana chuo kimoja huko morogoro Rais wa serikali ya wanafunz kafeli masomo yake na kutoendelea na masomo yake, cha kujiuliza kafeli kihalali?