Nyanswe Nsame
Senior Member
- Jul 9, 2019
- 165
- 181
Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili.
Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara walimu.
Hao katika video ni walimu wa shule za sekondari halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, ambao wameweka kambi nje ya ofisi ya Mkurugenzi wakishinikiza kulipwa mishahara yao.