Inakubidi upimwe mkono wewe .Walimu Huwa hawana Akili timamu. Let them suffer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakubidi upimwe mkono wewe .Walimu Huwa hawana Akili timamu. Let them suffer.
Uchaguzi wanauharibu wapi wewe? Hayo majungu ya vijiweni achana nayo .So kuharibu uchaguzi ni sehemu ya CIVICS ama? Kutopigania haki zao imeamuriwa kwenye civil rights ama? Wewe ni mwalimu?
Walimu wa Tanzania ni wajinga na huo ndiyo ukweli. Hakuna kitu wanaoweza na ukitaka kujua shiriki nao warsha au ishu yoyote ndiyo utanielewa. They behave very primitive.Sasa wewe unakuwaje na akili kama walimu wako walio kufundisha ni wajinga? Hakuna msomi awaye yeyote yule mwenye guts za kuweza kuita walimu wajinga halafu na yeye akawa sio mjinga na akajiita msomi na ameelimika.
Mara nyingi maneno ya namna hii utayapata kwa watu wasio na elimu kabisa wenye upeo mdogo na uwezo mdogo kabisa wa fikra ,maskini wa mali, afya na akili na wewe ukiwa mmoja wao.
Nimetoa machozi aisee.Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili.
Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara walimu.
Hao katika video ni walimu wa shule za sekondari halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, ambao wameweka kambi nje ya ofisi ya Mkurugenzi wakishinikiza kulipwa mishahara yao.
View attachment 2383305
Walimu siyo wa kutetea acha wanyooshwe.Nimetoa machozi aisee.
Magari ya milion 500 yananunuliwa kwa fujo.
Watu wanalipana maposho makubwa makubwa kwenda kukagua miradi midogo midogo.
Wabunge hawacheleweshewi mishahara ndo maana kutwa kugonga gonga meza huko Bungeni.
Tunahitaji ukombozi.
Tulipofikia kama nchi si pazuri.
Sema inaumiza sana asee
Jamaa unaamka hasubui unawai kazini unafundisha
Alafu mwisho wasiku hulipw
Yaani ukombozi kisa walimu hawajalipwa mshahara.. Yaani kundi hili la walimu likombolewew na wananchi ambao walinyang'anywa haki ya kuchagua viongozi wao na haohao walimu Kwa kupewa posho ya 270000-320000 katika uchaguzi wa 2020?Nimetoa machozi aisee.
Magari ya milion 500 yananunuliwa kwa fujo.
Watu wanalipana maposho makubwa makubwa kwenda kukagua miradi midogo midogo.
Wabunge hawacheleweshewi mishahara ndo maana kutwa kugonga gonga meza huko Bungeni.
Tunahitaji ukombozi.
Tulipofikia kama nchi si pazuri.
Simhurumii mwalimu kabisa.Nimetoa machozi aisee.
Magari ya milion 500 yananunuliwa kwa fujo.
Watu wanalipana maposho makubwa makubwa kwenda kukagua miradi midogo midogo.
Wabunge hawacheleweshewi mishahara ndo maana kutwa kugonga gonga meza huko Bungeni.
Tunahitaji ukombozi.
Tulipofikia kama nchi si pazuri.
Kweli ila ndo wamekusaidia ukafikia hiyo sijui digrii mastaz i doubt ni diploma ila kama ni digrii komenti zako hazitofautiani na form 4 leaver wa div 0 sijui 5 tena yule aliyekuwa shule hapendiii.Walimu Huwa hawana Akili timamu. Let them suffer.
Generation hii ina hasara kubwa sana.Yaani ukombozi kisa walimu hawajalipwa mshahara.. Yaani kundi hili la walimu likombolewew na wananchi ambao walinyang'anywa haki ya kuchagua viongozi wao na haohao walimu Kwa kupewa posho ya 270000-320000 katika uchaguzi wa 2020?
Polee sanaSimhurumii mwalimu kabisa.
Wanailinda ccm kwa posho ndogo ndogo waacheni
We generation yako ni ipi, na kwenye generation yetu unafanya nini go to hell mbwa wewe.Generation hii ina hasara kubwa sana.
Akili zako zinadhihirisha hilo.
Namjua mama yakoWe generation yako ni ipi, na kwenye generation yetu unafanya nini go to hell mbwa wewe.
Hujielewi paka shume wewe.Namjua mama yako
Nilimwambia aitoe ile mimba lakini akang'ang'ania kukuzaa.
Nilikususa kwa sababu ulipaswa kutoka kwa njia ya chaputa lakini mamio akajileta bila kumtumia nauli
Duuuu!!! Wazazi wanapataga hasara jamani hapa dunianiNamjua mama yako
Nilimwambia aitoe ile mimba lakini akang'ang'ania kukuzaa.
Nilikususa kwa sababu ulipaswa kutoka kwa njia ya chaputa lakini mamio akajileta bila kumtumia nauli
Huwezi kurejesha historia.Hujielewi paka shume wewe.