Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Buchosa hii ni kawaida. Wanalazimishwa wapokee posho ya kujikimu laki 4 flatlet kingali waraka unasema malipo ni hadi laki 9
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa mweusi weweeeWalimu Huwa hawana Akili timamu. Let them suffer.
DaaahKufanya kazi halmashauri ni moja kati ya source ya umasikini.
#MaendeleoHayanaChama
Kina nani ni werevu na wenye uzalendo ambao wameikwamua mHuwezi kunielewa. Kwa ufupi nchi hii imekwama Kwa sababu walimu ni wajinga na hawana uzalendo na taifa.
Hivi huyu mbwa katokea wapiWapi uliona ticha anapiga kazi zaidi ya umbea tu.
Usingejua kusoma kuhesabu na kuandika umbwa wwWapi uliona ticha anapiga kazi zaidi ya umbea tu.
Unataka wapiganie vip haki zao...kwani hujui hata kupiga kambi kwa mkurugenzi ni sehemu ya kupigania haki zao...mbwa weweeSo kuharibu uchaguzi ni sehemu ya CIVICS ama? Kutopigania haki zao imeamuriwa kwenye civil rights ama? Wewe ni mwalimu?
Kwani nani kakwambia anaomba huruma.....Mwalimu wa Tanzania hapaswi kuhurumiwa.
Huyu kweli zumbukuku...unaongelea kumzidi elimu halafu unamtukana mwalimu.....fara kabisa weweeeKama kweli ni mwalimu huwezi niita Akili ndogo. Nakuzidi Kila kitu elimu na exposure
Humu kuna watu wanamtindio wa ubongoWalimu ndio wajinga namba moja wa taifa. Hawajielewi kabisa.
Ukifuatilia elimu yake utakuta hili ndio yale yanayoferi tangu primary yanaishia kuungaunga halafu kwa ujinga wao yanatupa lawama kuwa yameferishwa.....achana nalo bwege hiloSasa wewe unakuwaje na akili kama walimu wako walio kufundisha ni wajinga? Hakuna msomi awaye yeyote yule mwenye guts za kuweza kuita walimu wajinga halafu na yeye akawa sio mjinga na akajiita msomi na ameelimika.
Mara nyingi maneno ya namna hii utayapata kwa watu wasio na elimu kabisa wenye upeo mdogo na uwezo mdogo kabisa wa fikra ,maskini wa mali, afya na akili na wewe ukiwa mmoja wao.
Huelewi hata unachoongea....we unajua nini kuhusu mchakato wa uchaguzi...kwani mawakala wa vyama huwa wapo kwenye vituo vya kupigia kura kufanya nini...tena hao wa vyama vyenu ambavyo huwa mnawajaza saa 11 tu walishafika vituoni wanabembea kwenye madirisha ya vyumba vya kupigia kura huku wanapeana zamu za kuzunguka kituo...mkishindwa imekuwa walimu ndio wameharibu...huna unachojua mbwa weweeWalimu walishiriki Kwa asilimia 100 kuharibu uchaguzi mkuu 2020, walifanya jaribio hatari la kuhatarisha usalama wa nchi na watalipa Kwa upumbavu ule. Hakuna kumhurumia mwalimu wa nchi hii wote ni wehu na wanapenda kujifanya wajuaji kumbe wapuuzi tu.
Ona usivyojielewa sasa....Mtu wao waliomweka Kwa nguvu akafa kishamba kabisa. Laana Ile itawafata wote wao na familia zao ni suala la muda tu make karma itatenda wakati ukifika.
We punguani huwezi nifundisha mchakato wa uchaguzi. Najua nachosema Walimu walihatarisha usalama wa nchi Kwa mambo ya kijinga, shukuru Mungu every thing settled peacefully Mngejuta.Huelewi hata unachoongea....we unajua nini kuhusu mchakato wa uchaguzi...kwani mawakala wa vyama huwa wapo kwenye vituo vya kupigia kura kufanya nini...tena hao wa vyama vyenu ambavyo huwa mnawajaza saa 11 tu walishafika vituoni wanabembea kwenye madirisha ya vyumba vya kupigia kura huku wanapeana zamu za kuzunguka kituo...mkishindwa imekuwa walimu ndio wameharibu...huna unachojua mbwa wewee
Mtaishia kulipa vikoba mishahara yenu kiduchu mbwa nyieOna usivyojielewa sasa....
Wewe mwalimu huwezi nifikia elimu yangu endelea kutumikishwa na politicians mpumbavu wewe.Ukifuatilia elimu yake utakuta hili ndio yale yanayoferi tangu primary yanaishia kuungaunga halafu kwa ujinga wao yanatupa lawama kuwa yameferishwa.....achana nalo bwege hilo
Mwenye mtindio wa ubongo ni mume wako.Humu kuna watu wanamtindio wa ubongo
Huna chochote unachojua...ni mihemko ya kisiasa ndio unakukuna unashindwa kutulia unabaki kubwekabweka tu kama mbwa koko....unatafuta kujulikana na chama chako ili wakuone unapambania chama....We punguani huwezi nifundisha mchakato wa uchaguzi. Najua nachosema Walimu walihatarisha usalama wa nchi Kwa mambo ya kijinga, shukuru Mungu every thing settled peacefully Mngejuta.