DOKEZO Walimu Walala ofisi ya Mkurugenzi Buchosa Mwanza, wakishinikiza malipo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watoro kazini
 
Kwa nini Wizara ya Elimu au Tamisemi isitenge pesa kwa ajili ya walimu badala ya kuwasumbua?
 
Huwezi kunielewa. Kwa ufupi nchi hii imekwama Kwa sababu walimu ni wajinga na hawana uzalendo na taifa.
Walimu wote wonaoshabikiaga CCM wakati wakampeni Poor tena poor kabisa
Mwalimu au yeyote aliye mtumishi wa serikali ni sehemu ya serikali hawezi kwenda kinyume na serikali elewa hivyo na urudi shuleni ukasome tena civics
 
Mwalimu au yeyote aliye mtumishi wa serikali ni sehemu ya serikali hawezi kwenda kinyume na serikali elewa hivyo na urudi shuleni ukasome tena civics
So kuharibu uchaguzi ni sehemu ya CIVICS ama? Kutopigania haki zao imeamuriwa kwenye civil rights ama? Wewe ni mwalimu?
 
Uanze na wewe kujiona huna akili timamu kwa sababu huwezi fundishwa na asiye na akili timamu halafu wewe ukawa na akili timamu ni sawa na kuutukana uchi wa mama yako ulio kutoa ukawa wewe halafu unaanza kuutukana . Sorry kwa maneno makali
Wewe punga usibishane na Mimi...
 
So kuharibu uchaguzi ni sehemu ya CIVICS ama? Kutopigania haki zao imeamuriwa kwenye civil rights ama? Wewe ni mwalimu?
NDIYO MIMI NI MWALIMU
na kwa sababu huelewi chochote kuhusu uchaguzi wa tanzania na huelewi chochote kuhusu maana ya mamlaka , kaa kushoto endelea kumuona mwalimu hajielewi

Na kwa kukusaidia kuanzia leo jua hakuna mwalimu aliye wahi kuharibu uchaguzi.
 
Nimekutana na walimu hapa Mwanambaya - Mkuranga,walisimamia mitihani ya darasa la 7.
Wameniambia kuwa siku ya kwanza ya semina walilipwa 40,000,siku ya pili wakakopwa.
Kwenye kusimamia mitihani,wamelipwa 35,000 kwa siku badala ya 40,000.
Wanauliza hizo hela nyingine zimeenda wapi!!?
NECTA na TAMISEMI/MOE wamefanya hivyo nchi nzima au ni Halmashauri ya Mkuranga pekee.
 
Walimu wa Tanzania ni vilaza na wajinga. Nina uhakika na kauli yangu.
 
Hakuna kitu wanajua, siyo siasa, siyo uchumi Wala mambo ya kijamiii. Wapowapo Kama watoto wadogo yaani
 
Labda wameajiriwa chini ya halmashauri kma ni serikalini sidhani kama unashindwa kulipa mishahara
 
watakuwa na shda zao binafs, mishahara yote hutokea hazina
 
Mwalimu au yeyote aliye mtumishi wa serikali ni sehemu ya serikali hawezi kwenda kinyume na serikali elewa hivyo na urudi shuleni ukasome tena civics
Mnashindwa kupambania haki zenu alafu unajiona sehemu ya serikali.mbona hizo taasisi zingine za serikali hatuoni zikinyanyaswa kama waalimu.Mnashindwa kutengeneza heshima yenu alafu mnabaki kulia lia mkiambiwa ukweli.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tozo zinaenda wapi?

Mgao wa umeme, tozo, nafaka bei juu, kila kitu ni hovyo!
 
Walimu wa Tanzania ni vilaza na wajinga. Nina uhakika na kauli yangu.
Sasa wewe unakuwaje na akili kama walimu wako walio kufundisha ni wajinga? Hakuna msomi awaye yeyote yule mwenye guts za kuweza kuita walimu wajinga halafu na yeye akawa sio mjinga na akajiita msomi na ameelimika.

Mara nyingi maneno ya namna hii utayapata kwa watu wasio na elimu kabisa wenye upeo mdogo na uwezo mdogo kabisa wa fikra ,maskini wa mali, afya na akili na wewe ukiwa mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…