DOKEZO Walimu Walala ofisi ya Mkurugenzi Buchosa Mwanza, wakishinikiza malipo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe mwalimu huwezi nifikia elimu yangu endelea kutumikishwa na politicians mpumbavu wewe.
Hahaaaaa.....kati ya maeneo nakuona fara ni kusema una elimu wakati unamtukana mwalimu kila mtu anakuona ni punguani na hamnazo
 
Hahaaaaa.....kati ya maeneo nakuona fara ni kusema una elimu wakati unamtukana mwalimu kila mtu anakuona ni punguani na hamnazo
Wewe Kama unahisi Kama ukizingua usitukanwe kisa mwalimu kawambie washamba wenziyo elimu yangu sikuoata Kama hisani.
 
Wewe Kama unahisi Kama ukizingua usitukanwe kisa mwalimu kawambie washamba wenziyo elimu yangu sikuoata Kama hisani.
Huna elimu wewe , hakuna mwenye elimu ambaye ana fikra kama zako.
 
Wewe Kama unahisi Kama ukizingua usitukanwe kisa mwalimu kawambie washamba wenziyo elimu yangu sikuoata Kama hisani.
Huna elimu wewe , hakuna mwenye elimu ambaye ana fikra kama zako una stress za kukosa ajira wewe ndio maana hata ufahamu wako ni mdogo.
 
Huelewi hata unacho kiongea na hujui hata dhana ya mwalimu kwa upana wake kwa hiyo wewe elimu yako hiyo hiyo ya ujinga ulipewa na muhunzi? ndio maana kila mtu humu anakuona mjinga ila kwa vile kichwa boksi hata hujishtukii
Nlichogundua tunabishana na mtu mwenye matatizo ya afya ya akili...hivyo ye anayemjua mwalimu ni aliyemfundisha primary tu...hajui kama hata lecturer ni mwalimu....
 
Nlichogundua tunabishana na mtu mwenye matatizo ya afya ya akili...hivyo ye anayemjua mwalimu ni aliyemfundisha primary tu...hajui kama hata lecturer ni mwalimu....
Ndio maana nakwambia yawezekana tunabishana na mtoto aliye fanya mtihani wa la saba juzi hapa maana nafuatilia hata trends za maandishi yake anaonekana ana uelewa mdogo sana
 
Wewe Kama unahisi Kama ukizingua usitukanwe kisa mwalimu kawambie washamba wenziyo elimu yangu sikuoata Kama hisani.
Kwanza umeshajiita The lost sijui hata kama unaelewa maana yake.....we tayari ulishapotea kitambo sasa hakuna haja ya kuhangaika na wewe
 
Sio wa kuonea huruma hawa, walishiriki sana kuvuruga uchaguzi 2020, sina hamu nao wangese sana hawa walimu
 
Mwalimu na 2020 vinahusiana nini, hujui dunia inavyozunguka dogo kalale, usiendeshwe na hisia
 
Wewe mwalimu huwezi nifikia elimu yangu endelea kutumikishwa na politicians mpumbavu wewe.
Unamatatizo ya ubongo, si bure.
Wahi hospital kaonane na daktari haraka Kwa ajili ya matibabu.
 
Hakuna kitu wanajua, siyo siasa, siyo uchumi Wala mambo ya kijamiii. Wapowapo Kama watoto wadogo yaani
sjajua hyo mwalimu alisoma wap na ww ulisoma wap lkn ujinga wa mtu hautegemei kaz aliyonayo bal akili yake tu! mbona hata majaji wanahukumu kesi hata kama hujaenda shule unajua hapa kuna maelekezo
 
Semina 50k
Malipo3 days 35k @
 
Natamani sana nipate mke mwalimu hawanaga alternative wako vizuri kwenye utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…