Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
View: https://www.instagram.com/p/C1EuGCZN-9U/
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
Inapendwa pesa. Kama amewaachia wapige pesa za miradi na capitation kwanini wasichange . Hii ndiyo bongo nchi ambayo Ina Rais,makamu,waziri mkuu,naibu waziri mkuu na waziri wa nishati lakini tanesco inapewa maelekezo ya umeme kukatika na katibu itikadi na uenezi.UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
😆😆😆 hatuhusiki, sisi tumefukua kaburi tuTeh teh teh acheni UCHOKOZI jamani