Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.

Afu hajatokea...inauma
 
Hili kundi upstairs Kuna uwezekano hawako sawa.
 
Bure kabisa nani aliwaambia kwamba rais hana fedha za kulipia fomu? Duniani omba Mungu akupe akili vingine si muhimu
 
Back
Top Bottom