Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

A HUMBLE LEADER

Senior Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
138
Reaction score
343
Wakuu

Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa!

Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao kama zamani alivofanya KWA miaka TAKRIBAN mitano ya hayati!

Japokuwa serikali imekuwa ikitangaza KILA mwaka kupanda KWA ufaulu kwa wahitimu lakini changamoto ZAO ni mwiba KWA serikali iliyopo na wameshindwa kuzitatua!

Katiba Ndio mwarobaini pekee wa Matatizo yao na Ndio tumaini pekee Ili achaguliwe kiongozi mnyenyekevu,msikivu na atakae guswa na changamoto ZAO kuliko huyu aliyepo

Wanaomba DOLA isimamie mchakato wa Katiba mpya wala pasiwepo uchaguzi mkuu KWA Katiba iliyopo!

Wanasisitiza mzee warioba arudi amalizie kazi aliyoianza kwani hawana imani na kikosi kazi cha mchongo kilichopo!

Mungu ibariki Tanzania ya Katiba mpya!
 
kwani tatizo la utolo na katiba linaingiliana vp mkuu.

naomba ufafanuzi
Utoro unasababishwa na changamoto ZAO kama;-

Morali ya kazi kushuka,mazingira duni ya kazi,uwiano wa mwanafunzi na mwalimu Kuwa mkubwa Sana,tatizo la kijiografia ENEO la kazi, makazi duni,kudharauliwa kutokana na maslahi Duni!!

Na mengi Sana yanayosababisha utoro Rasmi na reja reja!
 
na katiba ina muingiliano upi na swala la walimu kuishi ktk mazingira duni , morali na vngne hapo uluvyovitaj mkuu
 
Katiba italeta kiongozi chaguo la wananchi ambaye atawatumikia wananchi KWA kuboresha mazingira ya watumishi Ili wawatumikie wananchi utumishi wenye tija kwao!

Kuliko Hawa waliopo AMBAO wana kiburi cha madaraka kwakutegemea DOLA kubaki madarakani na sio Kura za wananchi!wameota mapembe na kuacha kuwatumikia wananchi ipasavyo na kuwaacha watumishi WAKIWA na kinyongo na kushindwa kutoa utumishi uliotukuka KWA wananchi!

Katiba mpya itafanya kiongozi awajibike KWA wananchi KWA kutengeneza mazingira mazuri KWA watumishi Ili wananchi watumikiwe vema!!
 
kama tatizo ni kiburi basi swala la katina mpya itakuwa sio dawa ya tatizo inshu iliyopo katiba iliyopo haieshimiwi tu.

pia serikali inawezkan pia haijakuwa serious ktk sekta ya elimu

ebu naomba pitja kdg ili andiko lang

Thread 'Elimu ni mwanga ila kwa upande huu ni giza' SoC 2022 - Elimu ni mwanga ila kwa upande huu ni giza
 
Wakuu

Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa!

Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao kama zamani alivofanya KWA miaka TAKRIBAN mitano ya hayati!

Japokuwa serikali imekuwa ikitangaza KILA mwaka kupanda KWA ufaulu kwa wahitimu lakini changamoto ZAO ni mwiba KWA serikali iliyopo na wameshindwa kuzitatua!

Katiba Ndio mwarobaini pekee wa Matatizo yao na Ndio tumaini pekee Ili achaguliwe kiongozi mnyenyekevu,msikivu na atakae guswa na changamoto ZAO kuliko huyu aliyepo

Wanaomba DOLA isimamie mchakato wa Katiba mpya wala pasiwepo uchaguzi mkuu KWA Katiba iliyopo!

Wanasisitiza mzee warioba arudi amalizie kazi aliyoianza kwani hawana imani na kikosi kazi cha mchongo kilichopo!

Mungu ibariki Tanzania ya Katiba mpya!
Katiba Mpya ni mwarobaini wa mambo mengi.

Kwanza tutapata viongozi halali na wanaojiamini
 
Katiba italeta kiongozi chaguo la wananchi ambaye atawatumikia wananchi KWA kuboresha mazingira ya watumishi Ili wawatumikie wananchi utumishi wenye tija kwao!

Kuliko Hawa waliopo AMBAO wana kiburi cha madaraka kwakutegemea DOLA kubaki madarakani na sio Kura za wananchi!wameota mapembe na kuacha kuwatumikia wananchi ipasavyo na kuwaacha watumishi WAKIWA na kinyongo na kushindwa kutoa utumishi uliotukuka KWA wananchi!

Katiba mpya itafanya kiongozi awajibike KWA wananchi KWA kutengeneza mazingira mazuri KWA watumishi Ili wananchi watumikiwe vema!!
Wewe Kuna siku utakuta mkeo hajapika utadai Katiba mpya ndo mwaronaini wa mkeo kutokupikia chakula.

Hakuna uhisiano kati ya morali/utoro/ uzembe na katiba
 
Wakuu

Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa!

Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao kama zamani alivofanya KWA miaka TAKRIBAN mitano ya hayati!

Japokuwa serikali imekuwa ikitangaza KILA mwaka kupanda KWA ufaulu kwa wahitimu lakini changamoto ZAO ni mwiba KWA serikali iliyopo na wameshindwa kuzitatua!

Katiba Ndio mwarobaini pekee wa Matatizo yao na Ndio tumaini pekee Ili achaguliwe kiongozi mnyenyekevu,msikivu na atakae guswa na changamoto ZAO kuliko huyu aliyepo

Wanaomba DOLA isimamie mchakato wa Katiba mpya wala pasiwepo uchaguzi mkuu KWA Katiba iliyopo!

Wanasisitiza mzee warioba arudi amalizie kazi aliyoianza kwani hawana imani na kikosi kazi cha mchongo kilichopo!

Mungu ibariki Tanzania ya Katiba mpya!
Serikalini siyo Comfort zone ya wazembe, kupe, wanyonyaji, mabwanyenye, wezi, wavivu na wahujumu! Anayetaka kufanya kazi serikalini ajue ana mzigo mkubwa wa kuhudumia taifa. Siyo kila ikifika Mei mosi wanamuuliza Mhe. Rais nyongeza ya mishahara wakati hawawajibiki.🙏🙏🙏
 
Yaani jamiiforum watu hawajui uhusiano wa utoro na katiba mpya tafadhali tufute vyuo havina maana ukoloni umeathiri mishipa ya binadamu wa tanzania
 
Serikalini siyo Comfort zone ya wazembe, kupe, wanyonyaji, mabwanyenye, wezi, wavivu na wahujumu! Anayetaka kufanya kazi serikalini ajue ana mzigo mkubwa wa kuhudumia taifa. Siyo kila ikifika Mei mosi wanamuuliza Mhe. Rais nyongeza ya mishahara wakati hawawajibiki.🙏🙏🙏
Wangekuwa hawawajibiki nchi isinge fika hapa kima wewe, serikali iache unyonyaji kwa kuwatengenezea tuhuma walimu,
 
Back
Top Bottom