A HUMBLE LEADER
Senior Member
- Sep 21, 2022
- 138
- 343
Wakuu
Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa!
Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao kama zamani alivofanya KWA miaka TAKRIBAN mitano ya hayati!
Japokuwa serikali imekuwa ikitangaza KILA mwaka kupanda KWA ufaulu kwa wahitimu lakini changamoto ZAO ni mwiba KWA serikali iliyopo na wameshindwa kuzitatua!
Katiba Ndio mwarobaini pekee wa Matatizo yao na Ndio tumaini pekee Ili achaguliwe kiongozi mnyenyekevu,msikivu na atakae guswa na changamoto ZAO kuliko huyu aliyepo
Wanaomba DOLA isimamie mchakato wa Katiba mpya wala pasiwepo uchaguzi mkuu KWA Katiba iliyopo!
Wanasisitiza mzee warioba arudi amalizie kazi aliyoianza kwani hawana imani na kikosi kazi cha mchongo kilichopo!
Mungu ibariki Tanzania ya Katiba mpya!