Iko sawa kwa 100%Walalamikue ajira kuwa kidogo lakini ishu ya interview ni muhimu saana.huyu waziri apongezwe.walimu ,wauguzi na madaktari ni majangaa.unakuta hawajuhi kitu.unakuta nesi hajuhi ata kudunga sindano.Wanatakiwa kufanya mitihani 3 tupunguze vilaza.
Kudeka tuMbona sisi kada nyingine tunafanya interview tatu ( written, practical, oral) na hatulii wala hatuundi chama....
Acheni kulia lia someni
Gentleman,Leo Tena nimewasikiliza (Neto )umoja wa waalimu wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele ! Ccm inatafuta laana ya vijana Hawa ! Hii ni fimbo kubwa na ni utelezi kwa rais samia suluhu Hassan !waalimu wanadharaulika sana ! Mkenda jiuzuru hii wizara imekushinda lakini kwa kuwa aliyakuajiri ni kibri tutakutana on ballot !!
Shida ya Mkenda ni nini hasa ulitaka waalimu waajiriwe bila interview? Na wafanyakazi wengine nao pia waajiriwe bila interview?Leo Tena nimewasikiliza (Neto )umoja wa waalimu wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele ! Ccm inatafuta laana ya vijana Hawa ! Hii ni fimbo kubwa na ni utelezi kwa rais samia suluhu Hassan !waalimu wanadharaulika sana ! Mkenda jiuzuru hii wizara imekushinda lakini kwa kuwa aliyakuajiri ni kibri tutakutana on ballot !!
Ilikuwaje mkuu?Ahaahaa hii yote ni legacy ya Jiwe ,,,,,,,source ni 2015
Walikua wachache sio kama sasa hivi, ni common sense tuKikwete Mungu ampe maisha marefu alikuwa anachukua majina vyuoni kulikuwa hakuna hata usumbufu wa kuomba. Jakaya ni kiongozi halisi, huyu mama anaburuzwa na wanaume na iko siku watamtukana hadharani.
Walimu walikua hawatoshi miaka yote ila sasa wamezidi nafasi, kada zingine zilijaa miaka mingi sana nyumaMbona kuna kada zinafanya intevyuu teena wamemaliza zamani wanapambambankshwa na hao wapya.
Fanyeni interview yaani mpate masifuli harafu mtake kufelisha watotoYule mrombo ni very arrogant, ana egoism, anajiona anajua kila kitu, ameharibu elimu kuanzia mitaala. Ananyanyasa walimu anavyojisika ndio maana analalamikia protokali ya ikulu. Halafu kwanini watu wasiseme huu ni Rais wa kuambiwa.
Siyo kweli kuna ofisi kibao hazina wahaisibu na makeshia wanatumia masekletari kufanya kazi hizo.Walimu walikua hawatoshi miaka yote ila sasa wamezidi nafasi, kada zingine zilijaa miaka mingi sana nyuma
Bahati mbaya sana mie sio mwalimu na nishafanya mainterview ya kutosha hadi ikafika naitwa tu na kupewa ofa, Nimetoa mawazo yangu unaweza kuchukua au kuyaacha tuSiyo kweli kuna ofisi kibao hazina wahaisibu na makeshia wanatumia masekletari kufanya kazi hizo.
Kuna ofisi hazina ma IT ndiyo maana mafoleni kibao kazi haziendi.
Kuna maofisi hazina maprocurement manunuzi hovyo hovyo tuu.
Kuna zahanati hakuna Dr wanatibiwa na manesi.
Sema nyie mmezoea kupangiwa vituo hamjawahi ona intavyuu moyo kuruka ruka. Kuna watu toka 2012 mpaka sasa hawana kazi na wanafeli intavyuu lakini hawalalamiki.
Tunadiscuss km tatizo la kitaifa mimi pia siyo mwalimu kabisa. Km umeangusha chaki acha miye niangushe ubao.Bahati mbaya sana mie sio mwalimu na nishafanya mainterview ya kutosha hadi ikafika naitwa tu na kupewa ofa, Nimetoa mawazo yangu unaweza kuchukua au kuyaacha tu
Mwalimu bora utampata kwa maswali ya kuchagua 25 si ndioWasitumie usaili watumie utaratibu gani maana nafasi chache na wao wanataka walimu bora, embu toa solution
Mkuu hivi umewasilikiza hao vijana mwanzo mwisho ukawaelewa kweli?Hata kama watahitajika wengi mfumo wa usaili hautabadilika hao wanalalamikia usaili sio ajira
Waache vijana wapambanie nafasi, chama Cha ma jobless kike wapa inspiration.Intelligent businessman RAIS WA MAJOBLESS PROMAX, nauliza Je una taarifa na jambo hili?
Kwani serikali kutoa ajira kiduchu wameanza leo mbona kipindi hiki ndio maneno yamekua mengiMkuu hivi umewasilikiza hao vijana mwanzo mwisho ukawaelewa kweli?