Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kwani wanafunzi wanapofundishwa dàrasani wanalipwa? Na waalimu nao wakienda kufundishwa wanakuwa wanafunzi sasa kwanini walipwe?Bora hiyo elfu tatu. Mwaka jana walipewa maji ya kikao basi..
Ila walimu sijui nani aliwaloga kwakweli.
Na hapo sasa utakuta wamejazana haswa .
Hushangaii walimu wana miezi sita hawajalipwa shule flani hata mia ila wapo tuuu.. Daah
Eti Mpwayungu Village ?