Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

Lengo walimu wasiende misele maana wengine wakiwa off siku mbili tatu wanaruka mikoa kwenda kula bata sasa nadhani hiyo trick ni kuwafanya wawepo around kwenye vituo vyao vya kazi.

Hii ndio bongo hutaki kakae mamtoni[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mbali na walimu wafanyakazi wengine wa serikaki kuu na serikali za mitaa hawaendi kazini kipindi hiki cha corona? Na je, pale shule zinapokuwa zimefungwa na wanafunzi wakaenda likizo walimu nao uwa hawaendi kazini kwa vile wanafunzi wapo likizo? Jibu la tunachojadili lipo hapo.
 
Kama mwalimu anaona ni usumbufu na matumizi ya hovyo ya nauli na muda, aache kazi ili amkomoe huyo Mkurugenzi mwenye kiherehere!
Na watakapokubali kwenda kusaini kila siku, basi hata shule zikifungua msiwapelekeshe! Hii dunia Kuna watu wana wivu wa kijinga hadi sio vizuri,
Wewe unahisi mwl wa simiyu bado yupo simiyu?!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huu si ukweli, Mimi nipo simiyu kwa sasa sijaona wanafunzi wakienda shule wala mh.mtaka hajatoa tamko kama hili

Tukirudi kwenye hoja ya mtoa maada Mimi naona ni sahihi walimu kusaini ili kujua uwepo wao,ikumbukwe kuwa walioenda likizo ni watoto na si walimu na hata kwenye likizo za kawaida mwalimu hutakiwa kuwepo shuleni kila Mara ikiwa hana likizo

Sasa suala la mwalimu kwenda kusaini na kurudi nyumbani ili kujua uwepo wake sioni tatizo kabisa,ni sahihi na serikali haina budi kulitilia mkazo jambo hili na kama mwalimu anataka kuondoka afuate taratibu za kazi vile zinasema ikiwemo kuomba ruhusa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo mkuu. Ukizingatia kipato kidogo cha waalimu hasa wa shule za serikali wengi wao hawana usafiri binafsi. Kwa kutumia usafiri wa umma wanakua exposed kwenye mazingira hatarishi ya kuambukizwa

Kama tuliwazuia watoto wasiende shule na hata huko nyumbani wasizurure basi kuna umuhimu pia wa kuwalinda waalimu. Hawana sababu ya kuhudhuria shule kwenye dharura kama hiii. Zaidi ya hivyo itawasaidia ku retain mapato yao kidogo wanayoingiza kama mshahara
 
Sheria za kazi zipo wazi. Na walimu ni werevu sana. Wanazijua na wanazizingatia. Nikupe mfano, mtumishi yeyote akitoka nje ya eneo la halmashauri anayofanyia kazi bila ruhusa ya maandishi ya mkuu ( kwa mwalimu Mkurugenzi wa Halmashauri) ni kosa. Na ikitokea akapata changamoto (hatuombei) yoyote huko, mwajiri wake hatahusika kumsaidia. Sana sana atamshataki kwa utoro.

Kwa mfano huo juu, ndio maana nikakwambia, walimu niwajuao ni werevu sana!
 
Si kupingi mkuu,ila hii kauli yakusema kuwa walimu wanavipato vidogo huwa sikubaliani nayo,kuna walimu wanalipwa hadi milioni 2+ wewe unasema kipato kidogo?

Walimu tutumie hicho kipato kidogo kukibadili kiwe kikubwa,hakuna nchi yoyote duniani mfanyakazi amewahi kukili kuwa mishahara wake ni mkubwa,Mimi mishahara wangu ni kidogo sana na Niko katika kada hii hii ya ualimu na huwa nagombana sana na walimu wenzangu wanaolialia eti mishahara mdogo,si kweli hata kidogo ,walimu mishara yetu ni mikubwa. Na tutumie mbinu ya kuikuza zaidi

Sasa wewe ukikaa tu utegemee mwisho wa miezi hata kama utalipwa million tano utalalamika tu kuwa mshahara hautoshi

Mwisho walimu waache kulialia juu ya mishahara,wachape kazi hasa
Tatizo lipo mkuu. Ukizingatia kipato kidogo cha waalimu hasa wa shule za serikali wengi wao hawana usafiri binafsi. Kwa kutumia usafiri wa umma wanakua exposed kwenye mazingira hatarishi ya kuambukizwa

Kama tuliwazuia watoto wasiende shule na hata huko nyumbani wasizurure basi kuna umuhimu pia wa kuwalinda waalimu. Hawana sababu ya kuhudhuria shule kwenye dharura kama hiii. Zaidi ya hivyo itawasaidia ku retain mapato yao kidogo wanayoingiza kama mshahara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kupingi mkuu,ila hii kauli yakusema kuwa walimu wanavipato vidogo huwa sikubaliani nayo,kuna walimu wanalipwa hadi milioni 2+ wewe unasema kipato kidogo?

Walimu tutumie hicho kipato kidogo kukibadili kiwe kikubwa,hakuna nchi yoyote duniani mfanyakazi amewahi kukili kuwa mishahara wake ni mkubwa,Mimi mishahara wangu ni kidogo sana na Niko katika kada hii hii ya ualimu na huwa nagombana sana na walimu wenzangu wanaolialia eti mishahara mdogo,si kweli hata kidogo ,walimu mishara yetu ni mikubwa. Na tutumie mbinu ya kuikuza zaidi

Sasa wewe ukikaa tu utegemee mwisho wa miezi hata kama utalipwa million tano utalalamika tu kuwa mshahara hautoshi

Mwisho walimu waache kulialia juu ya mishahara,wachape kazi hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu nakuunga mkono!
 
Mkuu Acha kumlisha waziri mkuu maneno, waziri atoa amri ya shule kufungwa na si walimu kwenda kwao, kama umeenda songwe bila kumtaarifu mkuu wako wa kazi jua hilo ni kosa kisheria mkuu
Kwahiyo Mwalimu atoke Manyara aende Songwe au Biharamulo kila siku kusign na kurudi? Ilihali Waziri Mkuu alitangaza kuwa waende manyumbani kwao mpaka serikali itakapotoa ruhusa ya kurudi tena shuleni.

Tumieni akili za kichwani na sio za Makalioni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..!

Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya kwenda kazini ni kufanya kazi siyo kusaini .

Wakuu wa shule na maafisa Elimu kata watoa maagizo kwa walimu wao

SASA KUSAINI NA KURUDI NYUMBANI MAANA YAKE NINI ?

Kuna viongozi wanatoa maagizo wakiwa unconscious kabisa yaani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

KWA HIYO WALIMU KUPUMZIKA IMEKUWA NONGWA
Kuna watu wana roho mbaya shetani anasubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali
Si kupingi mkuu,ila hii kauli yakusema kuwa walimu wanavipato vidogo huwa sikubaliani nayo,kuna walimu wanalipwa hadi milioni 2+ wewe unasema kipato kidogo?

Walimu tutumie hicho kipato kidogo kukibadili kiwe kikubwa,hakuna nchi yoyote duniani mfanyakazi amewahi kukili kuwa mishahara wake ni mkubwa,Mimi mishahara wangu ni kidogo sana na Niko katika kada hii hii ya ualimu na huwa nagombana sana na walimu wenzangu wanaolialia eti mishahara mdogo,si kweli hata kidogo ,walimu mishara yetu ni mikubwa. Na tutumie mbinu ya kuikuza zaidi

Sasa wewe ukikaa tu utegemee mwisho wa miezi hata kama utalipwa million tano utalalamika tu kuwa mshahara hautoshi

Mwisho walimu waache kulialia juu ya mishahara,wachape kazi hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli nakubaliana nawe kua mshahara kiasi chochote unaweza usitoshe na kuna haja ya kupambana zaidi waongeze kipato chao. Lakini kumbuka pia kua waalimu wa shule za serikali waliofikia ngazi ya mshahara kuwawezesha kupata 2m ni wachache.

Hili la corona ni dhararura. Hata huko walipo inawezekana wanapata changamoto ya kufanya jamb au shughughuli yoyote ya kujiongezea kipato kama wanavyopata ugumu watu wa kada nyingine, kwahiyo tuonyeshe kuwajali waalimu wetu, bora tuwaache watulie majumbani
 
Kama hujui kitu kaa kimya, wee unadhan kila Jambo likiamriwa inatangazwa Kama tangazo la kifo. Bariadi watoto wanaenda kuchukua maswali wanaenda kufanyia nyimbani, wanarudisha majibu na kupewa maswali mengine. Maeneo mengine kuona hivyo nayo yameiga
Mkuu huu si ukweli, Mimi nipo simiyu kwa sasa sijaona wanafunzi wakienda shule wala mh.mtaka hajatoa tamko kama hili

Tukirudi kwenye hoja ya mtoa maada Mimi naona ni sahihi walimu kusaini ili kujua uwepo wao,ikumbukwe kuwa walioenda likizo ni watoto na si walimu na hata kwenye likizo za kawaida mwalimu hutakiwa kuwepo shuleni kila Mara ikiwa hana likizo

Sasa suala la mwalimu kwenda kusaini na kurudi nyumbani ili kujua uwepo wake sioni tatizo kabisa,ni sahihi na serikali haina budi kulitilia mkazo jambo hili na kama mwalimu anataka kuondoka afuate taratibu za kazi vile zinasema ikiwemo kuomba ruhusa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe unasema simiyu ipi? Kuhusu kuchukua maswali hiyo ni kweli ila si kweli kwamba eti Mh.Mtaka kawataka walimu wawe shuleni na watoto waende bila nguo za shule hii sio tamko rasmi,tamko rasmi ni kufuata maswali
Kama hujui kitu kaa kimya, wee unadhan kila Jambo likiamriwa inatangazwa Kama tangazo la kifo. Bariadi watoto wanaenda kuchukua maswali wanaenda kufanyia nyimbani, wanarudisha majibu na kupewa maswali mengine. Maeneo mengine kuona hivyo nayo yameiga

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Acha kumlisha waziri mkuu maneno, waziri atoa amri ya shule kufungwa na si walimu kwenda kwao, kama umeenda songwe bila kumtaarifu mkuu wako wa kazi jua hilo ni kosa kisheria mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza unabishana na mtu naïve asiye mtumishi ukawa unapoteza muda tu. Mkubalie tu kuwa anavyofikiria ni sawa. Ashinde.
 
Kwahiyo Mwalimu atoke Manyara aende Songwe au Biharamulo kila siku kusign na kurudi? Ilihali Waziri Mkuu alitangaza kuwa waende manyumbani kwao mpaka serikali itakapotoa ruhusa ya kurudi tena shuleni.

Tumieni akili za kichwani na sio za Makalioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
unafahamu sheria za kazi au unakurupuka....hakuna sehemu serikali imesema uende mkoa mwingine mbali na kituo cha kazi....kwenda majumban kwa maana unapoishi karibu na kituo cha kazi......hivyo ni sahihi Kila siku akaripoti kazini na kusign, hapo kunakazi ganii angeambiwa hapewi mshahara si ndio Angelia kabisa...ninachoona kuwa fani ya uwalimu imekuwa ikideka deka tu Kila mara,mara hiki mara kile......yeye anaona anasumbuliwa kwenda kusign tu, ila ikifika mwisho wa mwezi haoni usumbufu kwenda kwenye ATM, pumbana sanaaaa
 
Wanataka kukwepa kulipa mishahara hewa...

Alafu usisahau ile kauli ya asiyefanya kazi na asile...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom