Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

Mkuu watoto watafata maswali kwa nani Kama walimu hawapo? Walimu wanatakiwa wawepo
Mkuu wewe unasema simiyu ipi? Kuhusu kuchukua maswali hiyo ni kweli ila si kweli kwamba eti Mh.Mtaka kawataka walimu wawe shuleni na watoto waende bila nguo za shule hii sio tamko rasmi,tamko rasmi ni kufuata maswali

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huu si ukweli, Mimi nipo simiyu kwa sasa sijaona wanafunzi wakienda shule wala mh.mtaka hajatoa tamko kama hili

Tukirudi kwenye hoja ya mtoa maada Mimi naona ni sahihi walimu kusaini ili kujua uwepo wao,ikumbukwe kuwa walioenda likizo ni watoto na si walimu na hata kwenye likizo za kawaida mwalimu hutakiwa kuwepo shuleni kila Mara ikiwa hana likizo

Sasa suala la mwalimu kwenda kusaini na kurudi nyumbani ili kujua uwepo wake sioni tatizo kabisa,ni sahihi na serikali haina budi kulitilia mkazo jambo hili na kama mwalimu anataka kuondoka afuate taratibu za kazi vile zinasema ikiwemo kuomba ruhusa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ipo kwastyle hii walim tusitafute mchawi wetu tunajiloga wenyewe ama alietuloga ameshakufa ktambo wengne wanalilia muda sisi tunaona muda upo mwingi mpaka wakupoteza!!! Duuu hapa kaz ipo mimi pia ni mwalim lakn hili siliungi mkono labda kama kunamajukum yakuinua taaluma tunaenda kufanya vngnevyo hakuna mantiki huu unakuwa ni ukolon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo walimu wasiende misele maana wengine wakiwa off siku mbili tatu wanaruka mikoa kwenda kula bata sasa nadhani hiyo trick ni kuwafanya wawepo around kwenye vituo vyao vya kazi.

Hii ndio bongo hutaki kakae mamtoni[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwalimu kule kaunga mkono bhana hii nchi alieiloga cjui alitumia dawa gan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hii taarifa ilihitaji ushahidi kidogo,lakini kamka ni hivyo kwani kuna ubaya gani,kwa sababu hao walimu wenyewe hawajajiongeza na kutulia majumbani mwao.
 
Sheria za kazi zipo wazi. Na walimu ni werevu sana. Wanazijua na wanazizingatia. Nikupe mfano, mtumishi yeyote akitoka nje ya eneo la halmashauri anayofanyia kazi bila ruhusa ya maandishi ya mkuu ( kwa mwalimu Mkurugenzi wa Halmashauri) ni kosa. Na ikitokea akapata changamoto (hatuombei) yoyote huko, mwajiri wake hatahusika kumsaidia. Sana sana atamshataki kwa utoro.

Kwa mfano huo juu, ndio maana nikakwambia, walimu niwajuao ni werevu sana!
Umeongea kama Afisa Elimu halmashauri, hahaha haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana chuki na walimu hii nchi sijawahi ona shuleni unaenda kufanya nini kwa mfano na kazi hamna kama mtu umeandika kila kitu unadaiwa nini tena zaidi ya kuidai serikali wafungue shule acheni ujuha waacheni walimu wapumzike kama ina wauma mngeomba kuwa walimu mijitu mingine kufelisha mitoto yao wapate akili
 
Mkuu Acha kumlisha waziri mkuu maneno, waziri atoa amri ya shule kufungwa na si walimu kwenda kwao, kama umeenda songwe bila kumtaarifu mkuu wako wa kazi jua hilo ni kosa kisheria mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umtaarifu Mtu ambaye yeye ndiye aliyekutangazia na kukupa ruhusa ya kwenda kwenu?

Wewe unajua waalimu waliondokaje mashuleni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni sahihi kabisa, lazima kila siku mwalimu afike kusaini kitabu cha mahudhurio maana wanaendelea kulipwa kama kawaida japokuwa hawafanyi kazi, ule mshahara ni sehemu ya nauli/usafiri, sehemu ya vocha, sehemu ya kodi ya pango, sehemu ya chakula nk.
kunakuwako kazi ndogo ndogo za kufanya waalimu wafanyie kazini, lazima waendelee kufika shule kwa muda mfupi na kurejea majumbani kwao
 
unafahamu sheria za kazi au unakurupuka....hakuna sehemu serikali imesema uende mkoa mwingine mbali na kituo cha kazi....kwenda majumban kwa maana unapoishi karibu na kituo cha kazi......hivyo ni sahihi Kila siku akaripoti kazini na kusign, hapo kunakazi ganii angeambiwa hapewi mshahara si ndio Angelia kabisa...ninachoona kuwa fani ya uwalimu imekuwa ikideka deka tu Kila mara,mara hiki mara kile......yeye anaona anasumbuliwa kwenda kusign tu, ila ikifika mwisho wa mwezi haoni usumbufu kwenda kwenye ATM, pumbana sanaaaa
Mashudu 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom