Mkuu huu si ukweli, Mimi nipo simiyu kwa sasa sijaona wanafunzi wakienda shule wala mh.mtaka hajatoa tamko kama hili
Tukirudi kwenye hoja ya mtoa maada Mimi naona ni sahihi walimu kusaini ili kujua uwepo wao,ikumbukwe kuwa walioenda likizo ni watoto na si walimu na hata kwenye likizo za kawaida mwalimu hutakiwa kuwepo shuleni kila Mara ikiwa hana likizo
Sasa suala la mwalimu kwenda kusaini na kurudi nyumbani ili kujua uwepo wake sioni tatizo kabisa,ni sahihi na serikali haina budi kulitilia mkazo jambo hili na kama mwalimu anataka kuondoka afuate taratibu za kazi vile zinasema ikiwemo kuomba ruhusa
Sent using
Jamii Forums mobile app