Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Na watakapokubali kwenda kusaini kila siku, basi hata shule zikifungua msiwapelekeshe! Hii dunia Kuna watu wana wivu wa kijinga hadi sio vizuri,Kama mwalimu anaona ni usumbufu na matumizi ya hovyo ya nauli na muda, aache kazi ili amkomoe huyo Mkurugenzi mwenye kiherehere!
Tatizo lipo mkuu. Ukizingatia kipato kidogo cha waalimu hasa wa shule za serikali wengi wao hawana usafiri binafsi. Kwa kutumia usafiri wa umma wanakua exposed kwenye mazingira hatarishi ya kuambukizwaMkuu huu si ukweli, Mimi nipo simiyu kwa sasa sijaona wanafunzi wakienda shule wala mh.mtaka hajatoa tamko kama hili
Tukirudi kwenye hoja ya mtoa maada Mimi naona ni sahihi walimu kusaini ili kujua uwepo wao,ikumbukwe kuwa walioenda likizo ni watoto na si walimu na hata kwenye likizo za kawaida mwalimu hutakiwa kuwepo shuleni kila Mara ikiwa hana likizo
Sasa suala la mwalimu kwenda kusaini na kurudi nyumbani ili kujua uwepo wake sioni tatizo kabisa,ni sahihi na serikali haina budi kulitilia mkazo jambo hili na kama mwalimu anataka kuondoka afuate taratibu za kazi vile zinasema ikiwemo kuomba ruhusa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria za kazi zipo wazi. Na walimu ni werevu sana. Wanazijua na wanazizingatia. Nikupe mfano, mtumishi yeyote akitoka nje ya eneo la halmashauri anayofanyia kazi bila ruhusa ya maandishi ya mkuu ( kwa mwalimu Mkurugenzi wa Halmashauri) ni kosa. Na ikitokea akapata changamoto (hatuombei) yoyote huko, mwajiri wake hatahusika kumsaidia. Sana sana atamshataki kwa utoro.Na watakapokubali kwenda kusaini kila siku, basi hata shule zikifungua msiwapelekeshe! Hii dunia Kuna watu wana wivu wa kijinga hadi sio vizuri,
Wewe unahisi mwl wa simiyu bado yupo simiyu?!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
**Waalimu** ndio akina nani haoNi kweli Make hata Simiyu mkuu wa Mkoa kafanya kikao na waalimu,na kuwataka wahudhurie shule kuwafundisha wanafunzi .Ila kwa sharti moja wanafunzi wametakiwa kuja wamevaa nguo za nyumbani.Anaebisha apige simu huko Bariadi aulize.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo mkuu. Ukizingatia kipato kidogo cha waalimu hasa wa shule za serikali wengi wao hawana usafiri binafsi. Kwa kutumia usafiri wa umma wanakua exposed kwenye mazingira hatarishi ya kuambukizwa
Kama tuliwazuia watoto wasiende shule na hata huko nyumbani wasizurure basi kuna umuhimu pia wa kuwalinda waalimu. Hawana sababu ya kuhudhuria shule kwenye dharura kama hiii. Zaidi ya hivyo itawasaidia ku retain mapato yao kidogo wanayoingiza kama mshahara
Mwalimu nakuunga mkono!Si kupingi mkuu,ila hii kauli yakusema kuwa walimu wanavipato vidogo huwa sikubaliani nayo,kuna walimu wanalipwa hadi milioni 2+ wewe unasema kipato kidogo?
Walimu tutumie hicho kipato kidogo kukibadili kiwe kikubwa,hakuna nchi yoyote duniani mfanyakazi amewahi kukili kuwa mishahara wake ni mkubwa,Mimi mishahara wangu ni kidogo sana na Niko katika kada hii hii ya ualimu na huwa nagombana sana na walimu wenzangu wanaolialia eti mishahara mdogo,si kweli hata kidogo ,walimu mishara yetu ni mikubwa. Na tutumie mbinu ya kuikuza zaidi
Sasa wewe ukikaa tu utegemee mwisho wa miezi hata kama utalipwa million tano utalalamika tu kuwa mshahara hautoshi
Mwisho walimu waache kulialia juu ya mishahara,wachape kazi hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Mwalimu atoke Manyara aende Songwe au Biharamulo kila siku kusign na kurudi? Ilihali Waziri Mkuu alitangaza kuwa waende manyumbani kwao mpaka serikali itakapotoa ruhusa ya kurudi tena shuleni.
Tumieni akili za kichwani na sio za Makalioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wana roho mbaya shetani anasubiriWakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..!
Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya kwenda kazini ni kufanya kazi siyo kusaini .
Wakuu wa shule na maafisa Elimu kata watoa maagizo kwa walimu wao
SASA KUSAINI NA KURUDI NYUMBANI MAANA YAKE NINI ?
Kuna viongozi wanatoa maagizo wakiwa unconscious kabisa yaani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
KWA HIYO WALIMU KUPUMZIKA IMEKUWA NONGWA
Ni kweli nakubaliana nawe kua mshahara kiasi chochote unaweza usitoshe na kuna haja ya kupambana zaidi waongeze kipato chao. Lakini kumbuka pia kua waalimu wa shule za serikali waliofikia ngazi ya mshahara kuwawezesha kupata 2m ni wachache.Si kupingi mkuu,ila hii kauli yakusema kuwa walimu wanavipato vidogo huwa sikubaliani nayo,kuna walimu wanalipwa hadi milioni 2+ wewe unasema kipato kidogo?
Walimu tutumie hicho kipato kidogo kukibadili kiwe kikubwa,hakuna nchi yoyote duniani mfanyakazi amewahi kukili kuwa mishahara wake ni mkubwa,Mimi mishahara wangu ni kidogo sana na Niko katika kada hii hii ya ualimu na huwa nagombana sana na walimu wenzangu wanaolialia eti mishahara mdogo,si kweli hata kidogo ,walimu mishara yetu ni mikubwa. Na tutumie mbinu ya kuikuza zaidi
Sasa wewe ukikaa tu utegemee mwisho wa miezi hata kama utalipwa million tano utalalamika tu kuwa mshahara hautoshi
Mwisho walimu waache kulialia juu ya mishahara,wachape kazi hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu si ukweli, Mimi nipo simiyu kwa sasa sijaona wanafunzi wakienda shule wala mh.mtaka hajatoa tamko kama hili
Tukirudi kwenye hoja ya mtoa maada Mimi naona ni sahihi walimu kusaini ili kujua uwepo wao,ikumbukwe kuwa walioenda likizo ni watoto na si walimu na hata kwenye likizo za kawaida mwalimu hutakiwa kuwepo shuleni kila Mara ikiwa hana likizo
Sasa suala la mwalimu kwenda kusaini na kurudi nyumbani ili kujua uwepo wake sioni tatizo kabisa,ni sahihi na serikali haina budi kulitilia mkazo jambo hili na kama mwalimu anataka kuondoka afuate taratibu za kazi vile zinasema ikiwemo kuomba ruhusa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui kitu kaa kimya, wee unadhan kila Jambo likiamriwa inatangazwa Kama tangazo la kifo. Bariadi watoto wanaenda kuchukua maswali wanaenda kufanyia nyimbani, wanarudisha majibu na kupewa maswali mengine. Maeneo mengine kuona hivyo nayo yameiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza unabishana na mtu naïve asiye mtumishi ukawa unapoteza muda tu. Mkubalie tu kuwa anavyofikiria ni sawa. Ashinde.Mkuu Acha kumlisha waziri mkuu maneno, waziri atoa amri ya shule kufungwa na si walimu kwenda kwao, kama umeenda songwe bila kumtaarifu mkuu wako wa kazi jua hilo ni kosa kisheria mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Matango matangoNa kweli tusije tuka comment kumbe matango pori
unafahamu sheria za kazi au unakurupuka....hakuna sehemu serikali imesema uende mkoa mwingine mbali na kituo cha kazi....kwenda majumban kwa maana unapoishi karibu na kituo cha kazi......hivyo ni sahihi Kila siku akaripoti kazini na kusign, hapo kunakazi ganii angeambiwa hapewi mshahara si ndio Angelia kabisa...ninachoona kuwa fani ya uwalimu imekuwa ikideka deka tu Kila mara,mara hiki mara kile......yeye anaona anasumbuliwa kwenda kusign tu, ila ikifika mwisho wa mwezi haoni usumbufu kwenda kwenye ATM, pumbana sanaaaaKwahiyo Mwalimu atoke Manyara aende Songwe au Biharamulo kila siku kusign na kurudi? Ilihali Waziri Mkuu alitangaza kuwa waende manyumbani kwao mpaka serikali itakapotoa ruhusa ya kurudi tena shuleni.
Tumieni akili za kichwani na sio za Makalioni.
Sent using Jamii Forums mobile app