Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha,

Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu).,

Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga Ili apate kibali kwa ndugu zake mpenzi wangu.

Ushauri wenu ta
Jiue Mimi msibani kwako nanunua makreti ya bia na natoa rambi rambi laki 5 taslimuu nipe location

min -me
Monetary doctor
MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha,

Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu).,

Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga Ili apate kibali kwa ndugu zake mpenzi wangu.

Ushauri wenu ta
Mama ametufikia 😂😂😂😂😂
 
Losers’ anthem
 
Unajua kwanini?ni kwa kuwa dr. tena wamanesi!
 
Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha,

Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu).,

Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga Ili apate kibali kwa ndugu zake mpenzi wangu.

Ushauri wenu ta
Achana na mpenzi wa mtu.
 
Pole sana Mkuu Dr wa Manesi huwa naandika sana kwenye jukwaa la MMU unaweza ukapita ukasoma nyuzi zangu.
Nina mambo machache tu kama matano au sita ya Kuku shauri.

1. Kwanza tulia kabla ya kuchukua hatua yoyote.
Maumivu ya usaliti huleta hasira, lakini maamuzi ya haraka yakitokana na hisia kali yanaweza kusababisha majuto.

2. Tambua thamani yako. Mtu anayekudhalilisha kwa namna hiyo kutumia rasilimali zako huku akiwa na mipango ya ndoa na mtu mwingine – hana nafasi katika maisha ya mtu anayejithamini.

3. Acha kumfadhili. Usimpe tena msaada wowote wa kifedha au kimaisha. Hilo litampa nafasi ya kutambua thamani ya kile alichokuwa anakipata na kukudharau.

4. Usitafute kisasi, tafuta heshima. Usimshushie heshima mpenzi huyo wala huyo jamaa – acha kila kitu kiwe wazi kwa vitendo vyako vya busara. Heshima yako itaongezeka, hata machoni pao.

5. Fungua moyo wako kwa mtu unayemuamini au mshauri wa kiroho/kimahusiano. Inaweza kusaidia kupunguza maumivu na kukupa mwanga zaidi wa kisaikolojia.

6. Endelea na maisha yako. Usimruhusu akuvunje moyo hadi ukose kuamini mapenzi tena. Kuna watu wa kweli wanaostahili nafasi ya moyo wako.
 
Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha,

Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu).,

Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga Ili apate kibali kwa ndugu zake mpenzi wangu.

Ushauri wenu ta
unataka ushauri gani na wewe hutakiwi? Subiri akikataliwa na huyo ndiyo atakuomba umuoe.
 
Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha,

Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu).,

Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga Ili apate kibali kwa ndugu zake mpenzi wangu.

Ushauri wenu ta
Katika yote jitahidi kuwa na mwanamke anaekupenda na sio yule ambaye unampenda wewe
 
Back
Top Bottom