Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

Sijui umepigajepigaje hapa.........Kuna sense imo, senseless pia imo wakati huo huo

Relax, there is a fine line between sense and sense less and that line get more less and less when u get more sense!
 
Pole sana Mkuu Dr wa Manesi huwa naandika sana kwenye jukwaa la MMU unaweza ukapita ukasoma nyuzi zangu.
Nina mambo machache tu kama matano au sita ya Kuku shauri.

1. Kwanza tulia kabla ya kuchukua hatua yoyote.
Maumivu ya usaliti huleta hasira, lakini maamuzi ya haraka yakitokana na hisia kali yanaweza kusababisha majuto.

2. Tambua thamani yako. Mtu anayekudhalilisha kwa namna hiyo kutumia rasilimali zako huku akiwa na mipango ya ndoa na mtu mwingine – hana nafasi katika maisha ya mtu anayejithamini.

3. Acha kumfadhili. Usimpe tena msaada wowote wa kifedha au kimaisha. Hilo litampa nafasi ya kutambua thamani ya kile alichokuwa anakipata na kukudharau.

4. Usitafute kisasi, tafuta heshima. Usimshushie heshima mpenzi huyo wala huyo jamaa – acha kila kitu kiwe wazi kwa vitendo vyako vya busara. Heshima yako itaongezeka, hata machoni pao.

5. Fungua moyo wako kwa mtu unayemuamini au mshauri wa kiroho/kimahusiano. Inaweza kusaidia kupunguza maumivu na kukupa mwanga zaidi wa kisaikolojia.

6. Endelea na maisha yako. Usimruhusu akuvunje moyo hadi ukose kuamini mapenzi tena. Kuna watu wa kweli wanaostahili nafasi ya moyo wako.
Ushauri mzuri Sanaa mkuu,je ni sahihi kumblock ex ambae amekuacha kisa kapata mtu .mwingine na mahusiano mengine yanayompa jeuri ? Manyanza
 
Ushauri mzuri Sanaa mkuu,je ni sahihi kumblock ex ambae amekuacha kisa kapata mtu .mwingine na mahusiano mengine yanayompa jeuri ? Manyanza
Kama una hisia naye na kuendelea kumuona kunakutesa na kukupa stress block kabisa. Hiyo si kinyongo, ni kujilinda.

Kama huna hisia zozote tena na unaweza kuendelea na maisha yako bila kuumizwa usimblock, lakini mpotezee tu

Usiruhusu jeuri yake ikuchome moyo. Focus na maisha yako, kujijenga, na kumpa nafasi mpenzi anayekuheshimu kweli
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom