Ebana wanajamvi inakuwaje?
Kampuni ya ulinzi Bond security Arusha imefunga mageti yote ya Hospitali ya Selian Jijini Arusha na kuondoka.
Kampuni hiyo ilifanya hivyo kwa kudai malimbikizo ya mishahara ya miezi 6 shilling million 42.
Ambapo mkuu wa kampuni hiyo ya ulinzi akisema waliwapa notice mara saba uongozi wa Hospitali lakini wakawa wanakuza tu. Wakaamua kufunga mageti yote ya hospitali.