MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hilo kanisa la CHADEMA ni shida. Taasisi zinazojihusisha na CHADEMA huwa ni za hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtu aliekuweka kinyumba kazi anayoHilo kanisa la CHADEMA ni shida. Taasisi zinazojihusisha na CHADEMA huwa ni za hovyo.
mkuu tumia akili yako sawaHapo lawama ni kwa menejimenti ya Arusha Lutheran Medical Centre na sio KKKT
Ana fanya kazi ya kuji lipa pesa ndefu ..hili kanisa ni kama chama cha siasa .ni vurugu ndani kwa ndaniKKKT shida nini mpaka mnakosa hela za kulipa..?
Katibu mkuu wa hio diocese anafanya kazi gani sasa ofisini.??
Pesa kwaajili ya walinzi kila siku ni karibia 234,000 Kwa wiki 1,638,000 Swali fikirishi kwanini wanawalinzi wengiSadaka, tozo za matibabu ,Bado mnashindwa kulipa wafanyakazi?
Miezi sita watoto wa wafanyakazi wanakula nini na wanasomaje shule?
Mmejiwekea posho kubwa kuliko kinachoingia.
Viongozi wote watimuliwe wa diyosisi nzima pamoja na uongozi wa Hospital na TAKUKURU NA CAG ATIE KAMBI HAPO WAFANYE UCHUNGUZI.
WASISUBIRIE HADI KAULI YA RAIS
Changamoto ya hospitali za dini haipo kkkt peke yake,hospitali nyingi za misheni zinachechemea, kuongezeka kwa vituo vingi vya afyabcya serikali kumepelekea kupungua kwa wateja, bima ya afya na ongezeko la polyclinicsSadaka, tozo za matibabu ,Bado mnashindwa kulipa wafanyakazi?
Miezi sita watoto wa wafanyakazi wanakula nini na wanasomaje shule?
Mmejiwekea posho kubwa kuliko kinachoingia.
Viongozi wote watimuliwe wa diyosisi nzima pamoja na uongozi wa Hospital na TAKUKURU NA CAG ATIE KAMBI HAPO WAFANYE UCHUNGUZI.
WASISUBIRIE HADI KAULI YA RAIS
Acha kumtukana hawara wa mama yako nitakupa laana. Laana ya baba wa kambo ni hatariHuyo mtu aliekuweka kinyumba kazi anayo
Serikali inawapelekea moto kimyakimya. Mwisho wao umefika baada ya kuwapiga sana wananchi huku wakijifanya wanasaidia. Mimi ninashauri hospitali ya Seliani igeuzwe kuwa Hotel kwasababu huduma zao ni za hovyo.Changamoto ya hospitali za dini haipo kkkt peke yake,hospitali nyingi za misheni zinachechemea, kuongezeka kwa vituo vingi vya afyabcya serikali kumepelekea kupungua kwa wateja, bima ya afya na ongezeko la polyclinics
Kujilipa pesa kubwa sio shida ila managing ya hospital inabidi iwe vizuri.Ana fanya kazi ya kuji lipa pesa ndefu ..hili kanisa ni kama chama cha siasa .ni vurugu ndani kwa ndani
Kweli mkuu sio kazi ndogo. Hapo unakuta matumizi ya siku ni zaidi ya milioni 5 kwa siku. Halafu kinachopatikana kwa siku haivuki ata mil 2kuendesha biashara kubwa sio kitoto
Wewe mama tuliaAcha kumtukana hawara wa mama yako nitakupa laana. Laana ya baba wa kambo ni hatari
Huna akili.Hilo kanisa la CHADEMA ni shida. Taasisi zinazojihusisha na CHADEMA huwa ni za hovyo.
Hili la bima nadhan waziri na viongozi husika wa huo mfuko uwezo wao umeshaisha imebaki porojo za kisiasa na kulindana.maana kila mara malalamiko ni yale yale.Hospital nyingi zinategemea mapato ya bima hasa bima ya NHIF. Kwa sasa bima wamekuwa hawalipi kwa wakati hivyo kupelekea hospitali kuchechemea. Ikumbukwe BIMA inasimama kama mtu kati kati ya mgonjwa na hospitali. Hivyo mtu anapopata huduma inatakiwa BIMA ilipe kwa wakati. Sasa unapochukua miezi mpaka sita pasipo malipo wakati mgonjwa kashapata huduma unategemea utaendesha vipi hospitali?
kwa sasa vituo vingi vya afya visivyo kuwa na ruzuku ya Serikali vina hali mbaya sana
Unakuta kiongozi wa dini sadaka anabeba,Sadaka zikalipe mishahara..? Are you mentally stable kweli..?
Hapo ni kwamba mapato ya hospital yanaweza yakawa yameshuka na solution kwa hospital nyingi wanachofanya ni kupunguza wafanyakazi ili wages saved kwa hio redundancy ikafukie pesa za mikataba na makampuni wabia kwenye kutoa huduma kama hao wa ulinzi, catering and the likes. Na ukweli ni kwamba hospitali nyingi za private saivi hazina wateja wengi, watu wanapumzishwa sana kazi kwenye hii miezi miwili ya karibu.