Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu aongeacho sicho atendacho. Since am grown up man I watch your actions not your wordsSadaka, tozo za matibabu ,Bado mnashindwa kulipa wafanyakazi?
Miezi sita watoto wa wafanyakazi wanakula nini na wanasomaje shule?
Mmejiwekea posho kubwa kuliko kinachoingia.
Viongozi wote watimuliwe wa diyosisi nzima pamoja na uongozi wa Hospital na TAKUKURU NA CAG ATIE KAMBI HAPO WAFANYE UCHUNGUZI.
WASISUBIRIE HADI KAULI YA RAIS
Managing of resources sio kazi rahisi rafiki. Ukiona mtu ni manager mzuri na mfanisi wa kazi yake, mpe tu maua yake. Hicho ndo kitu kigumu zaidi kwenye whole concept of Management.Unakuta kiongozi wa dini sadaka anabeba,
Pesa za hospital kwenye vikao Nako pia anahitaji posho Nene hapo kitabaki nini
Laana ya wizi wa sadakaNdio hiyo .