Hapo lawama ni kwa menejimenti ya Arusha Lutheran Medical Centre na sio KKKTKKKT shida nini mpaka mnakosa hela za kulipa..?
Katibu mkuu wa hio diocese anafanya kazi gani sasa ofisini.??
Sadaka, tozo za matibabu ,Bado mnashindwa kulipa wafanyakazi?KKKT shida nini mpaka mnakosa hela za kulipa..?
Katibu mkuu wa hio diocese anafanya kazi gani sasa ofisini.??
Unajua namna vitega uchumi vya KKKT vinavyoendeshwa..?Hapo lawama ni kwa menejimenti ya Arusha Lutheran Medical Centre na sio KKKT
Nieleweshe huenda nachojua si sahihi.Unajua namna vitega uchumi vya KKKT vinavyoendeshwa..?
Sadaka zikalipe mishahara..? Are you mentally stable kweli..?Sadaka ,tozo za matibabu ,Bado mnashindwa kulipa wafanyakazi?
Miezi sita watoto wa wafanyakazi wanakula Nini na wanasomaje shule?
Mmejiwekea posho kubwa kuliko kinachoingia.
Viongozi wote watimuliwe wa diyosisi nzima pamoja na uongozi wa Hospital na TAKUKURU NA CAG ATIE KAMBI HAPO WAFANYE UCHUNGUZI.
WASISUBIRIE HADI KAULI YA RAIS
Hii siyo ile hospitali ya Lutheran kweli?Ebana wanajamvi inakuwaje?
Kampuni ya ulinzi Bond security Arusha imefunga mageti yote ya Hospitali ya Selian Jijini Arusha na kuondoka.
Kampuni hiyo ilifanya hivyo kwa kudai malimbikizo ya mishahara ya miezi 6 shilling million 42.
Ambapo mkuu wa kampuni hiyo ya ulinzi akisema waliwapa notice mara saba uongozi wa Hospitali lakini wakawa wanakuza tu. Wakaamua kufunga mageti yote ya hospitali.
Managing board zote zinakuwa lead na katibu mkuu wa diocese kama boss wake. Meaning yeye ndo ana control mapato yote ya vitega uchumi vya diocese na yeye ndo ana deal moja kwa moja na strategic plan, implementation na evaluation ya daily reports za hivyo vitega uchumi.Nieleweshe huenda nachojua si sahihi.
Hilo kanisa ni kama genge fulani laa wahuni, waende wakajifunze Ikonda Consolata Fathers MaketeHapo lawama ni kwa menejimenti ya Arusha Lutheran Medical Centre na sio KKKT
Katibu bado ni Makara au Megiroo?Managing board zote zinakuwa lead na katibu mkuu wa diocese kama boss wake. Meaning yeye ndo ana control mapato yote ya vitega uchumi vya diocese na yeye ndo ana deal moja kwa moja na strategic plan, implementation na evaluation ya daily reports za hivyo vitega uchumi.
Uko sahihiHapo lawama ni kwa menejimenti ya Arusha Lutheran Medical Centre na sio KKKT
Ndio hiyo .Hii siyo ile hospitali ya Lutheran kweli?
kuendesha biashara kubwa sio kitotoJana nilisikia wafanyakazi (Madokta na manesi na wauguzi) nao wamegoma, tena wanadai hawajalipwa miezi sita sasa...Hospitari nao wanadai hawajalipwa na Bima ya Afya!...yaani tafrani