Sadaka, tozo za matibabu ,Bado mnashindwa kulipa wafanyakazi?
Miezi sita watoto wa wafanyakazi wanakula nini na wanasomaje shule?
Mmejiwekea posho kubwa kuliko kinachoingia.
Viongozi wote watimuliwe wa diyosisi nzima pamoja na uongozi wa Hospital na TAKUKURU NA CAG ATIE KAMBI HAPO WAFANYE UCHUNGUZI.
WASISUBIRIE HADI KAULI YA RAIS