Walinzi (Makomandoo) na Wapishi wa Simba SC mliokuwa zamu Derby ya Novemba 5, 2023 Albadiri itatulipia machungu yetu kwa usaliti wenu

 

Attachments

  • images (2).jpeg
    19.4 KB · Views: 3
Wenzako wametulia na kukubali matokeo! Cha kushangaza wewe bado unaendelea kuweweseka. Sijui ndiyo network search.....!!!
 
Ila akili nyingine jamani Hapana Its too much...

Kwanini tusikubali yanga Ni bora sana imefunga goli nyingi

Kwanini tusikubali simba ni Mbovu.
Nadhani hii ndio heshima ya mPira.

Otherwide utakuwa unatumika.

Huwezi ukawa na wastaaafu kama.
Saido mstaafu.
Boko mstaafu.
Chama mstaafu.
Miquissone mstaafu
Kapombe.
Shabalala mstaafu

Ukaifunga yanga yenye vijana kama.
Max,azizi,job,yao,nondo,baka,mzinze

AKILI NI MALI
 
Yaani mpaka mnatia aibu jinsi mnavyotapatapa,...Simba ndio timu inayoongoza kwa uchawi kwa timu za TZ, wakifuatiwa na yule binti yao tuliyo muweka kimoko jana!!

BADO HAMJASEMA!! SEMENI MPAKA USIKU WA MANANE!!
 
Wakubali tu kuwa walizidiwa wafanye marekebisho yanayohitajika na mambo yaendelee...

 

Anatumika.

Jf sio ile mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…