CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Sasa kama maji ndo yamesababisha kufungwa kwenu, haya niambie;
1. Wachezaji waliosimamishwa baada ya Simba kufungwa na Yanga, imekuwa hivyo kwa sababu gani na wakati maji ndo tatizo?
2. Kocha mmemfungisha virago kisa kufungwa na Yanga, imekuwa hivyo kwa sababu gani na wakati maji ndo tatizo?
3. Kama maji ndo kila kitu, Mangungu anashinikizwa kujiuzulu kisa nini.?? Imekuwa hivyo kwa sababu gani na wakati maji ndo tatizo?
MSIPOKUBALI UKWELI KWAMBA MMEZIDIWA UBORA, HAMTAFANYA JUHUDI ZOZOTE ZA KUONGEZA UBORA, NA HIVYO KUPELEKEA KUBAKI MLIVYO.
Usipate tabu mkuu.
Jamaa anatumika