ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Endeleeni kuamimi mmerogwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo story za kitambo,miaka ya 90 wakati pamba ikifanya vizuri,tuliambiwa Wana mganga mwanamke ana ziwa moja, kwenye game anakalia kinu,hamfungiHuyo dada mwenye ziwa moja...lingine alikatwa ulozini nini?
Idiot.Mtoto wa kiume kufanya 'bullying' kwenye harakati za mwanamume mwenzako katika maswala ya kiuchumi haijakaa poa.
Tupo humu kwaajili ya michezo na wala sio vipato vyetu wala nyenzo zetu za kupata fedha.
Tukerane na kutaniana bila kuhusisha our 'economic status' .
Maisha siku zote ni kama vidole,Kuna kupanda na kushuka huenda CAPO DELGADO alikua anapitia nyakati ngumu lakini haikufaa kuleta dhihaka kiasi hiki.
Kwa hili jaribu kubadilika Genta.
Be fair,Play positive.
Hata uandikie nini history ishaandikwa. Jipange kwa marudiano. Pole sana . Kunywa aspirin au konyagiJamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na Asili ya Waliotuadhibu na Mwingine akiwa ni Mwenzetu ila ni mwepesi mno Kuhongeka na mpenda 10% kwenye kila Dili.
Sasa kuonyesha kuwa Watoa Adhabu Kali ya Kufungia mwaka katika Soka nchini Tanzania walidhamiria kumbe hawakuingia tu kwa Wachezaji na Viongozi bali Safari hii walihamia kwa Walinzi ( Makomandoo ) na Wapishi wa Timu / Klabu.
Kumbe wakati Timu iko Uwanjani inapiga Mbungi ( Kipindi cha Kwanza ) walihesabiwa Walinzi waliokuwepo zamu Uwanjani na Kupigwa Hela ya maana na Kukubali ipulizwe Dawa ya Kulegeza Mwili ( wana Michezo tunaiita 4-4-2 ) Vyumbani huku Mganga wa Kike HATARI Mwenye Ziwa Moja aishie Tegeta akiwa na Watu wa Timu iliyotoa Adhabu ( huku akiwa Kavalia kama Mwanaume ) wakaingia na Kumwaga Dawa za Ndumba ( Ulozi ) Koridoni na Timu ilipotoka Half Time ikauvagaa Mtego.
Kwanini GENTAMYCINE nimewavulia Kofia hawa Jamaa ( Watoa Adhabu Kali ya Kufungia mwaka 2023 Jumapili iliyomalizika ) kumbe kule kule Kambini tayari Walishapenyeza Watu wao ambao nao walimalizana na Mpishi wa Timu huku Wakilindwa na Kiongozi Mmoja na Wajumbe Wawili ili Chakula ambacho Wachezaji walikula Mchana ule Kiwekwe Dawa ambayo ingewaathiri Wachezaji taratibu ( hasa Kiufanisi ) ndani ya Masaa Manne au Matano ijayo ikichanganyika vizuri Mwilini.
Lile Swali Kubwa ambalo GENTAMYCINE nilikuwa nalo la kwanini Wachezaji wa Team WAADHIBIWA waliporejea Kipindi cha Pili walikuwa Wazito Kukimbia, hawana Nguvu na kama vile Wote Wamechanganyikiwa ila kwa sasa nimeshapata Jibu.
Naionea sana Huruma Team WAADHIBIWA Jumapili kwani WATOA ADHABU Jumapili WAMESHAJIPENYEZA sehemu zote Muhimu na Nyeti ndani yao na wataendelea KUWAADHIBU na kuwashinda KIMAFANIKIO kila mwaka mpaka AKILI ziwaamke na ziwakae sawa.
ANGALIZO
Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.
Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.