Walinzi (Makomandoo) na Wapishi wa Simba SC mliokuwa zamu Derby ya Novemba 5, 2023 Albadiri itatulipia machungu yetu kwa usaliti wenu



Usipate tabu mkuu.

Jamaa anatumika
 
Ifikie kipindi myakubali madhaifu yenu
 

Ingependeza kushambulia hoja yangu kuliko kunishambulia mimi.

Simple simba ina wastaafu wafuatao.
1. Saido msfaafu.
2. Chama mstaafu.
3. Ngoma mstaafu.
4.Miquissone mstaafu.
5. Boko mstaafu.
6. Kapombe mstaafu

Hawa wazee wanakwenda kucheza na vijana damu inachemka kama...
Max, yao. Diara.
Azizi, Nondo, msheri
Job, kibwana.
Baka, kibabage. ..... nk
 
Thread closed
 
We mjomba itoshe basi na nyuzi zako za kila dk 3 kuonyesha watu ulivo na uwezo mkubwa wa kupata habari nyeti.

Unajichanganya sana man, maana wakati mmoja unakuja na uzi unao appreciate ubora wa Yanga technically dhidi ya timu yako baada ya dk 3 unakuja tena na uzi unaodai timu yako imefungwa 5 kutokana na sababu nnje ya uwanja(ushirikina, rushwa, uongozi mbaya nk).

Huoni hau make sense kwa hoja zako? Ukishakubali mtu kakuzidi uwezo technically unakuja vp tena na sababu zingine? Kuna mwenye akili anaweza kukubali? Au lengo ni ujaze nyuzi nyingi humu uwe platnum member?

Mzee unatuchosha bana maana kitengo cha sports chote umekiteka wewe na nyuzi zako zinazojichanganya.
 
Chizi hilo usilizingatie
 
ONYO: Msimchukulie serious huyu alieandika hizi pumba hapa juu,huyu ni Certified Idiot wa Jamiiforums,Dr kamshauri awe anaandika pumba ili kupunguza kiwango cha ujinga wake kwenye ubongo.
 


Usipate tabu mkuu sisi tunamjua huyo mtu.

Wala usiumize kichwa chako.
 
Dahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…