Walinzi wa Freeman Mbowe walikuwa wapi wakati akishambuliwa na ni kweli alipokewa hospitalini akiwa amelewa chakari?

Kwanza nitoe pole kwa mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kushambuliwa na watu wasojulikana na kisha kuumizwa mguu.

Namtakia ahueni na apone haraka kisha kurudi bungeni kuendelea na shughuli za upinzani.

Taarifa zinazozagaa kwa kasi mjini Dodoma ni kwamba mheshimiwa Mbowe hakuwa na walinzi alipokuwa akirudi kutoka kwenye shughuli zake binafsi.

Pia taarifa hizo zinaendelea kudai kwamba mheshimiwa Mbowe alipokelewa hospitalini akiwa amelewa pombe chakari.

Kama polisi watathibitisha habari hizi khasa hii ya kulewa pombe, basi habari za kushambuliwa kwa Mbowe ambazo zilitumwa kwa kasi ya umeme kwa baadhi ya sehemu muhimu kwa upinzani ukiwemo umoja wa Ulaya na Ubalozi wa Uingereza zitakuwa zimeingia dosari.

Je, vipi juu ya taratibu za ulnzi kwa viongozi wakuu wa upinzani mbone zimekuwa hazitiliwi maanani khasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu?

Pia kuna taarifa kwamba watu wasojulikana ambao wamemshambulia mheshimiwa Mbowe walisikika wakisema kwamba mbona anaisumbua serikali ?

Taarifa hizi zimetolewa hadi bungeni huku wabunge kadhaa akiwemo mheshimiwa Lusinde akitoa madai ya mheshimiwa Mbowe kupokelewa na madaktari akiwa amelewa chakari.

Ikiwa watu wasojulikana wana ushahidi wote juu ya matendo ambayo mheshimiwa Mbowe anayaratibu mbona hawatoi taarifa polisi ambao watachunguza na kisha kuwafikisha mahakamani wahusika wote.

Lakini masuali ya msingi ni kwamba kwanini mheshimiwa Mbowe hakuwa na ulinzi alipokuwa kwenye mizunguko yake.

Je, ni kweli mheshimiwa Mbowe alipokuwa hospitalini akiwa amelewa chakari?
Kwani hata kama akinywa pombe inakuhusu nini as long as hakuvunja haki ya mtu yoyote haina madhara tatizo moja mmebaki kuwa n watu wa kupepeta mdomo kama vile nyungo za wachawi
 
Ukinywa pombe kupita kiasi unapoteza umakini na stanina.

Hivyo pombe zina madhara.

Pili mheshimiwa Mbvowe ni public figure na future leader hivyo anapaswa kuwa makini na mienendo yake.

Halafu nafahamu kwamba Mbowe ana kibali cha kumiliki silaha na taarifa zinasema kwamba siku ya tukio alikuwa amebeba silaha hiyo au hizo.

Nigekuwa mimi ndie Mbowe nigetumia silaha kuwatanguliza hao wasojulikana .

Sasa kwanini suala la ulinzi halipewi umuhimu na CHADEMA khasa kwa kiongozi wake mkuu?
 
Hii ishu imegubikwa na sintofahamu nyingi ngoja tusubiri uchunguzi 😁😁😁

Ila kama ni kiki imebuma vibaya
 
Kwanza nitoe pole kwa mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kushambuliwa na watu wasojulikana na kisha kuumizwa mguu.

Namtakia ahueni na apone haraka kisha kurudi bungeni kuendelea na shughuli za upinzani.

Taarifa zinazozagaa kwa kasi mjini Dodoma ni kwamba mheshimiwa Mbowe hakuwa na walinzi alipokuwa akirudi kutoka kwenye shughuli zake binafsi.

Pia taarifa hizo zinaendelea kudai kwamba mheshimiwa Mbowe alipokelewa hospitalini akiwa amelewa pombe chakari.

Kama polisi watathibitisha habari hizi khasa hii ya kulewa pombe, basi habari za kushambuliwa kwa Mbowe ambazo zilitumwa kwa kasi ya umeme kwa baadhi ya sehemu muhimu kwa upinzani ukiwemo umoja wa Ulaya na Ubalozi wa Uingereza zitakuwa zimeingia dosari.

Je, vipi juu ya taratibu za ulnzi kwa viongozi wakuu wa upinzani mbone zimekuwa hazitiliwi maanani khasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu?

Pia kuna taarifa kwamba watu wasojulikana ambao wamemshambulia mheshimiwa Mbowe walisikika wakisema kwamba mbona anaisumbua serikali ?

Taarifa hizi zimetolewa hadi bungeni huku wabunge kadhaa akiwemo mheshimiwa Lusinde akitoa madai ya mheshimiwa Mbowe kupokelewa na madaktari akiwa amelewa chakari.

Ikiwa watu wasojulikana wana ushahidi wote juu ya matendo ambayo mheshimiwa Mbowe anayaratibu mbona hawatoi taarifa polisi ambao watachunguza na kisha kuwafikisha mahakamani wahusika wote.

Lakini masuali ya msingi ni kwamba kwanini mheshimiwa Mbowe hakuwa na ulinzi alipokuwa kwenye mizunguko yake.

Je, ni kweli mheshimiwa Mbowe alipokuwa hospitalini akiwa amelewa chakari?

Duuu, leo kazi ipo!
 
Duuu, leo kazi ipo!

Safari hii kuna kila dalili ya kamanda Mroto kujiandaa kutoa taarifa iloshiba.

Maana baadhi ya wakazi wa lile eneo wana CCTV systems, hivyo tuvute subira.
 
Hakuna uhusiano kati ya kitendo cha kikatili dhidi ya Mbowe na hali yake wakati huo kama ambavyo hakuna uhusiano wa kwanini polisi ilibidi wamkamate George Floyd na kitendo chao cha kinyama kikichosababisha mauti. Kutetea vitendo vya namna hii ni kujipalia mkaa. Hakuna aliyesalama pale ambapo hakuna utawala wa sheria.
 
Mimi nakushauri uweke akiba ya maneno.

Mpaka sasa hakuna ambae amethibitisha ukatili unaodai amefanyiwa mheshimiwa Mbowe.
 
Muroto kadhitisha kwamba amekanyagwa na watu ambao hawakua na silaha. Kwa msissitizo kasema wamemkanyaga kwa miguu. Vipi Lisu alijitwanga risasi mwenyewe kichama??? Ushauri wako kwa neno moja unaitwa NAIVETY
 
Nimemsikiliza kibajaji hapa kuanzia dakika ya 6:00 nikacheka kweli

Yaani siasa zetu zimeanza kuwa za kitoto sana kama haya ndiyo maneno yanayosemwa na wanasiasa viongozi wetu.
 
Mroto ametoa taarifa ya statement kuhusu kushambuliwa kwa Mbowe kutoka kwa hao walotoa hizo taarifa, hajathibitisha kuwa amefanyiwa ukatili na watu fulani.

Usiwe naïve kiasi hicho.
 
Naona na "mabeberu" ( balozi za Marekani, EU n.k) nao wako naive kiasi hiki. (wameliita shambulio kama alivyosema Mroto)
 
Nchi za mabeberu wamepewa taarifa na akina Mnyika and co hivyo nao kwa kuwa wana ajenda moja na CHADEMA wakaamua kusambaza taarifa harakaharaka.
 
Nimemsikiliza kibajaji hapa kuanzia dakika ya 6:00 nikacheka kweli

Yaani siasa zetu zimeanza kuwa za kitoto sana kama haya ndiyo maneno yanayosemwa na wanasiasa viongozi wetu.

Sikuwahi kumsikia huyu Kibajaji anavyoongea il leo baada ya hiyo hotuba kuhusu Mbowe kuvamiwa nimepata nafasi ya kutafuta baadhi ya hotuba zake kweli nimevunjika mbavu kabisa; unfortunately nimechoma muda wangu wa takriban saa moja kumsikiliza.

Safari hii kuna kila dalili ya kamanda Mroto kujiandaa kutoa taarifa iloshiba.

Maana baadhi ya wakazi wa lile eneo wana CCTV systems, hivyo tuvute subira.

Kwanza ninashukuru kwa kusema safari hii kamanda Muroto atatoa taarifa iliyoshiba, kwa mantiki taarifa ya Lisu haikuwa imeshiba. Halafu tutaamini kuwa taarifa ipi ni ya kweli? Maana kama huko nyuma alikuwa hatoi zilizoshiba, na akawa anasisitiza yuko sawa, tutaamini vipi kuwa huu atakayotoa sasa kuwa ndio ya kweli?
 
Kwanza nitoe pole kwa mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kushambuliwa na watu wasojulikana na kisha kuumizwa mguu.

Namtakia ahueni na apone haraka kisha kurudi bungeni kuendelea na shughuli za upinzani.

Taarifa zinazozagaa kwa kasi mjini Dodoma ni kwamba mheshimiwa Mbowe hakuwa na walinzi alipokuwa akirudi kutoka kwenye shughuli zake binafsi.

Pia taarifa hizo zinaendelea kudai kwamba mheshimiwa Mbowe alipokelewa hospitalini akiwa amelewa pombe chakari.

Kama polisi watathibitisha habari hizi khasa hii ya kulewa pombe, basi habari za kushambuliwa kwa Mbowe ambazo zilitumwa kwa kasi ya umeme kwa baadhi ya sehemu muhimu kwa upinzani ukiwemo umoja wa Ulaya na Ubalozi wa Uingereza zitakuwa zimeingia dosari.

Je, vipi juu ya taratibu za ulnzi kwa viongozi wakuu wa upinzani mbone zimekuwa hazitiliwi maanani khasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu?

Pia kuna taarifa kwamba watu wasojulikana ambao wamemshambulia mheshimiwa Mbowe walisikika wakisema kwamba mbona anaisumbua serikali ?

Taarifa hizi zimetolewa hadi bungeni huku wabunge kadhaa akiwemo mheshimiwa Lusinde akitoa madai ya mheshimiwa Mbowe kupokelewa na madaktari akiwa amelewa chakari.

Ikiwa watu wasojulikana wana ushahidi wote juu ya matendo ambayo mheshimiwa Mbowe anayaratibu mbona hawatoi taarifa polisi ambao watachunguza na kisha kuwafikisha mahakamani wahusika wote.

Lakini masuali ya msingi ni kwamba kwanini mheshimiwa Mbowe hakuwa na ulinzi alipokuwa kwenye mizunguko yake.

Je, ni kweli mheshimiwa Mbowe alipokuwa hospitalini akiwa amelewa chakari?
hawa wanafiki wa ccm mboye anawahusu nini
 
Unaweza kulewa na ukashambuliwa vile vile. Hatuwezi kusema kwasababu alilewa Basi kushambuliwa Ni haki yake.

Tusitoke kwenye hoja kisa alilewa. Wanaotumia hoja ya kulewa Ni udhaifu mkubwa Sana ambao unataka kusimplify Jambo hili na kuliweka Ni Jambo la kawaida

Sisemi shambulio lake Ni la kisiasa au la ila laweza kuwa la kisiasa au ugomvi binafsi na watu wanaomzunguka. Kwahiyo km shambulio Ni la kisiasa au Sio kisiasa, lazima waliofanya wafikishwe mahakamani ndio kazi ya polisi.

Tusiwavunje moyo Jeshi la polisi, tuwaache wafanye kazi yao
 
Kwanza nitoe pole kwa mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kushambuliwa na watu wasojulikana na kisha kuumizwa mguu.

Namtakia ahueni na apone haraka kisha kurudi bungeni kuendelea na shughuli za upinzani.

Taarifa zinazozagaa kwa kasi mjini Dodoma ni kwamba mheshimiwa Mbowe hakuwa na walinzi alipokuwa akirudi kutoka kwenye shughuli zake binafsi.

Pia taarifa hizo zinaendelea kudai kwamba mheshimiwa Mbowe alipokelewa hospitalini akiwa amelewa pombe chakari.

Kama polisi watathibitisha habari hizi khasa hii ya kulewa pombe, basi habari za kushambuliwa kwa Mbowe ambazo zilitumwa kwa kasi ya umeme kwa baadhi ya sehemu muhimu kwa upinzani ukiwemo umoja wa Ulaya na Ubalozi wa Uingereza zitakuwa zimeingia dosari.

Je, vipi juu ya taratibu za ulnzi kwa viongozi wakuu wa upinzani mbone zimekuwa hazitiliwi maanani khasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu?

Pia kuna taarifa kwamba watu wasojulikana ambao wamemshambulia mheshimiwa Mbowe walisikika wakisema kwamba mbona anaisumbua serikali ?

Taarifa hizi zimetolewa hadi bungeni huku wabunge kadhaa akiwemo mheshimiwa Lusinde akitoa madai ya mheshimiwa Mbowe kupokelewa na madaktari akiwa amelewa chakari.

Ikiwa watu wasojulikana wana ushahidi wote juu ya matendo ambayo mheshimiwa Mbowe anayaratibu mbona hawatoi taarifa polisi ambao watachunguza na kisha kuwafikisha mahakamani wahusika wote.

Lakini masuali ya msingi ni kwamba kwanini mheshimiwa Mbowe hakuwa na ulinzi alipokuwa kwenye mizunguko yake.

Je, ni kweli mheshimiwa Mbowe alipokuwa hospitalini akiwa amelewa chakari?
Kwani viongozi wanazuiwa kulewa?
 
Hao walinzi ni wa kuwekewa na serikali au wake binafsi?

Nafikiri ni walinzi binafsi wa CHADEMA ambao waliamua kuwa na walinzi wao wenyewe tangu 2017 kama sikosei.
 
Back
Top Bottom