Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PumbaUmeandika gazeti refu lakini ni ujinga mtupu umeandika.
Barakoa ni agizo kwa ofisi zote ni lazima uvae barakoa, kama unaona mlangoni unalanguliwa nunuwa hukohuko mtaani kwako nenda na barakoa yako au shonesha ya kitenge kwa fundi utakuwa unafuwa.
Ni kwa nini wao hawavai barakoa si kazi yako, wao kazi yao ni kuhakikisha wageni wote wana barakoa.
Lets assume wao wamechanja chanjo ndio maana hawavai, lakini mgeni lazima.
Magari ya Polisi mengi ni mabovu, polisi wengine kwenye pikipiki hawavai element, sasa wewe waendee na hoja zako za kiboya hizi ndio utaelewa dunia ilivyo.
Yani kusumbuwa watu JF kwa ajili ya barakoa ya jero? Upumbavu huu.
Umeandika takataka tupu.Umeandika gazeti refu lakini ni ujinga mtupu umeandika.
Barakoa ni agizo kwa ofisi zote ni lazima uvae barakoa, kama unaona mlangoni unalanguliwa nunuwa hukohuko mtaani kwako nenda na barakoa yako au shonesha ya kitenge kwa fundi utakuwa unafuwa.
Ni kwa nini wao hawavai barakoa si kazi yako, wao kazi yao ni kuhakikisha wageni wote wana barakoa.
Lets assume wao wamechanja chanjo ndio maana hawavai, lakini mgeni lazima.
Magari ya Polisi mengi ni mabovu, polisi wengine kwenye pikipiki hawavai element, sasa wewe waendee na hoja zako za kiboya hizi ndio utaelewa dunia ilivyo.
Yani kusumbuwa watu JF kwa ajili ya barakoa ya jero? Upumbavu huu.
Mbaya zaidi wanakwambiya kanunuwe pale.Tanzania ujinga bado uko sehemu nyingi mkuu.
Ni kama airport, ukifika pale wanakulazimisha uvae barakoa wakati ukiingia ndani watu hawajavaa barakoa wala nini.
Kwa kua sipendi maneno, nina barakoa moja nayoitumia toka mwaka jana mwanzoni, nikifika pale navaa, baada ya kupita zile scanner machines naitupia mfukoni.
Ni ujinga tu kulazimishana kuvaa mibarakoa.
Same polisi station kibahaHata pia ukienda ofisi ya tra mkoa wa Pwani nao ni hivyo hivyo bila barakoa huingii ndani na cha ajabu pia barakoa hizo wanauza wenyewe walinzi wa Suma JKT na ukiingia ndani hakuna mfanyakazi hata mmoja aliye vaa barakoa
Dah[emoji3][emoji3]Kuna ofisi moja ya mkuu wa wilaya nilienda nikwa nafatilia mambo yangu wakanirudisha nje nikavae barakoa chaajabu wahudumu wa pale ndani na mpka mkuu wa mkoa mwenyewe hajavaa barakoa ,,nimetoka kwenda kununua barakoa narudii ,naambiwa muhudumu kaenda kunywa chai nilimind sana
Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu! .. "Ufasaha" ni neno linalotumika kwenye lugha hasa ya kiswahili na kiarabu. Linatokana na neno Fasihi au Fasikh. Unaweza kutamka maneno kwa ufasaha lakini huwezi kuvaa kwa ufasaha.Na ukifika humo ndani Kati ya watu 100 amevaa mmoja tu kwa ufasaha.
Wanaishi kwa mazoea...Kuvaa sio shida,,
Je na wao wanavaa?
Shida inaanzia hapo.
Kwani kuna tatizo gani mimi kuwa mlinzi? Ni crime kuwa mlinzi?Umeandika takataka tupu.
Kama ni chanjo,,Nani kakueleza kwamba ukichanja usivae barakoa?
Kwann wasihamasishe watu wanaoingia kunawa mikono kwa maji tiririka au kupaka senitezer?kama ni kweli wanafata maelekezo ya wizara ya afya?
Nafahamu kama wewe ni mlinzi na unapata likes nyingi toka kwa walinzi wenzio...
Lakini suala la kuvaa barakoa ni la wote.
COVID haichaguwi,,
Pia zipo njia nyingi za kujiongezea kipato.
Hili la kuuza barakoa mliache mara moja.
Njaa zenu msizipige kwenye speaker.
Watu wa hivi huwa wanaitwa Midiocre in village circus.Sisi watanzania tushukuru Mungu sana vile Covid haijatupiga barabara...
La sivyo sasa hivi tungekuwa na nyuzi za kuhimizana tuvae barakoa hata kama wengine wanakaidi...
Hao walinzi naamini wanatekeleza maagizo tu, ukienda sehemu kama hizo kuepusha shari uwe unavaa, ukitoka hapo unavua unaendelea na maisha yako, ya nini kuanza kupoteza muda kubishana kwa kitu kidogo tu kama hicho
Kuna tofauti kubwa Kati ya security guard na soldier...Kwani kuna tatizo gani mimi kuwa mlinzi? Ni crime kuwa mlinzi?
Halafu ukute pimbi kama wewe usalama wako na hata mali sidhani kwanza kama unazo unategemea walinzi.
Fanculo.
Ufasaha ni kwa usahihi..Samahani mkuu! .. "Ufasaha" ni neno linalotimika kwenye lugha hasa ya kiswahili na kiarabu. Linatokana na neno Fasihi au Fasikh. Unaweza kutamka maneno kwa ufasaha lakini huwezi kuvaa kwa ufasaha.
Nimeona hili neno limeanza kutumika isivyo labda kwa kutokujua na JF siku zote huwa ni jukwaa la kupata maarifa. Asante.
Mimi ni kolokoloni au ngerewe, je mwenzangu wewe ni Mkurugenzi wa taasisi ipi?Kuna tofauti kubwa Kati ya security guard na soldier...
Wewe ni security guard tu.
Wacha njaa.
huna akili.Umeandika gazeti refu lakini ni ujinga mtupu umeandika.