mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
- Thread starter
- #61
Mwenye jukumu la kuvaa barakoa ni wote au wanaoingia ofisi za umma?Kuvaa Barakoa ni agizo la ofsi husika nenda kwenye taasisi zote za uma au hata mahosptal kote hupiti bila barakoa getini, Lakini kama wewe huwezi nunua kwao nenda ukanunue unakojua wewe uje umevaa barakoa uone kama watakuzuia. Watanzania na mambo ya kujiona wajuaji sijui mpaka lini Vaeni barakoa hutaki kaa kwako usiende kwenye ofsi za watu ...walinzi hakuna kuachia kenge ingie ndani
Na kwann watumishi wenyewe hawavai.
Na hata baada ya kuingia na barakoa humo ndani wote wamevaa barakoa shingoni au mkononi badala ya kuzivaa usoni.
Je hilo ndy lengo la kulazimisha kununuwa barakoa?