Walinzi wa getini ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam punguzeni njaa, msijifiche kwenye kichaka cha barakoa

Kuna ofisi moja ya mkuu wa wilaya nilienda nikwa nafatilia mambo yangu wakanirudisha nje nikavae barakoa chaajabu wahudumu wa pale ndani na mpka mkuu wa mkoa mwenyewe hajavaa barakoa ,,nimetoka kwenda kununua barakoa narudii ,naambiwa muhudumu kaenda kunywa chai nilimind sana

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Pumba

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Umeandika takataka tupu.
Kama ni chanjo,,Nani kakueleza kwamba ukichanja usivae barakoa?

Kwann wasihamasishe watu wanaoingia kunawa mikono kwa maji tiririka au kupaka senitezer?kama ni kweli wanafata maelekezo ya wizara ya afya?
Nafahamu kama wewe ni mlinzi na unapata likes nyingi toka kwa walinzi wenzio...

Lakini suala la kuvaa barakoa ni la wote.
COVID haichaguwi,,
Pia zipo njia nyingi za kujiongezea kipato.
Hili la kuuza barakoa mliache mara moja.
Njaa zenu msizipige kwenye speaker.
 
Mkuu haukuwa na mguu wa kuku.

You were supposed to put a bullet in one of those brainless individuals akili iwakae sawa
[emoji3][emoji3]. Eti mguu wa kuku?

Lugha za zamani Sana mkuu.
 
Mbaya zaidi wanakwambiya kanunuwe pale.
Na ukishanunua wala hawana time na wewe kama umevaa au umeiweka mfukoni.
.hapo ndy shida itapoanzia.
 
Hata pia ukienda ofisi ya tra mkoa wa Pwani nao ni hivyo hivyo bila barakoa huingii ndani na cha ajabu pia barakoa hizo wanauza wenyewe walinzi wa Suma JKT na ukiingia ndani hakuna mfanyakazi hata mmoja aliye vaa barakoa
Same polisi station kibaha
 
Dah[emoji3][emoji3]
 
Na ukifika humo ndani Kati ya watu 100 amevaa mmoja tu kwa ufasaha.
Samahani mkuu! .. "Ufasaha" ni neno linalotumika kwenye lugha hasa ya kiswahili na kiarabu. Linatokana na neno Fasihi au Fasikh. Unaweza kutamka maneno kwa ufasaha lakini huwezi kuvaa kwa ufasaha.
Nimeona hili neno limeanza kutumika isivyo labda kwa kutokujua na JF siku zote huwa ni jukwaa la kupata maarifa. Asante.
 
Kwani kuna tatizo gani mimi kuwa mlinzi? Ni crime kuwa mlinzi?

Halafu ukute pimbi kama wewe usalama wako na hata mali sidhani kwanza kama unazo unategemea walinzi.

Fanculo.
 
Watu wa hivi huwa wanaitwa Midiocre in village circus.

Halafu kwakuwa JF wote tuna magari ni kwa nini usiwe na barakowa kwenye mkweche wako? Tena unaweka box zima hata ambaye hana unatowa unampa tu.
 
Kwani kuna tatizo gani mimi kuwa mlinzi? Ni crime kuwa mlinzi?

Halafu ukute pimbi kama wewe usalama wako na hata mali sidhani kwanza kama unazo unategemea walinzi.

Fanculo.
Kuna tofauti kubwa Kati ya security guard na soldier...

Wewe ni security guard tu.
Wacha njaa.
 
Ufasaha ni kwa usahihi..

Na pia naomba nikusahihishe umeandika neno "linalotimika".

Ulipaswa uandike neno "linalotumika".

Na pia umetumia neno hasa sio hasa ni "haswa."
 
Kuvaa Barakoa ni agizo la ofsi husika nenda kwenye taasisi zote za uma au hata mahosptal kote hupiti bila barakoa getini, Lakini kama wewe huwezi nunua kwao nenda ukanunue unakojua wewe uje umevaa barakoa uone kama watakuzuia. Watanzania na mambo ya kujiona wajuaji sijui mpaka lini Vaeni barakoa hutaki kaa kwako usiende kwenye ofsi za watu ...walinzi hakuna kuachia kenge ingie ndani
 
huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…