Kuvaa Barakoa ni agizo la ofsi husika nenda kwenye taasisi zote za uma au hata mahosptal kote hupiti bila barakoa getini, Lakini kama wewe huwezi nunua kwao nenda ukanunue unakojua wewe uje umevaa barakoa uone kama watakuzuia. Watanzania na mambo ya kujiona wajuaji sijui mpaka lini Vaeni barakoa hutaki kaa kwako usiende kwenye ofsi za watu ...walinzi hakuna kuachia kenge ingie ndani