Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
La hasha. Walitupwa nje.Hivi mwisho imekuaje wameruhusiwa kupita au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La hasha. Walitupwa nje.Hivi mwisho imekuaje wameruhusiwa kupita au
Kunakuwa na ushirikiano wa karibu sana, wa vikosi vya usalama USA na Tanzania, angalia ujio wa obama ulivyokuwa kama mfanoMkuu kwa hiyo akija hapa Trump jukumu la ulinzi wake tunaachiwa sisi kweli ?
Black label sio beer ng'ombe wewe.Nimecheka mpaka nimegonga glass ya black label beer
ErdoganEndorgan
Hivi mwisho imekuaje wameruhusiwa kupita au
Wadau wa maswala ya intelijensia hii kitu imekaaje?
Hakukuwa na coordination kati yao?
==========
Rwandan President Paul Kagame’s arrival at the Nyayo Stadium to attend the national prayer service for the late former President Daniel Moi was marked with chaos.
A video posted by the Daily Nation on Tuesday, February 11, shows what appears to be a commotion moments after Kagame had alighted from his vehicle at 9.59 a.m.
Moments after being received by Deputy President William Ruto and other dignitaries including Tourism CS Najib Balala and PS Macharia Kamau, Kagame made his way to the stadium, but his security detail found it rough.
The hawk-eyed security detail barred them from accessing the premises in an unexplained protocol hitch with DP Ruto looking on in the background.
Also caught up in the melee was ICT CS Joe Mucheru, who attempted to make his way into the venue after Kagame had walked in but is shoved away by a security guard at the entrance.
Kagame is amongst some of the African leaders who have jetted into the country to mourn former President Daniel Moi who passed on on February 4, 2020.
Earlier on, DP Ruto had received the Ethiopian delegation and all other dignitaries that arrived at the prayer service.
Among the guests at the event are Ugandan President Yoweri Museveni, Nigerian Vice President Yemi Osinbajo, Former Tanzanian Presidents Jakaya Kikwete and Benjamin Mkapa.
South Sudanese President Salva Kiir and dignitaries from Ethiopia, Malawi, Ireland, and the UK are also in attendance.
Moi will be laid to rest in his Kabarak home in a private ceremony on February 12.
Mkuu kwa hiyo akija hapa Trump jukumu la ulinzi wake tunaachiwa sisi kweli ?
Kunakuwa na ushirikiano wa karibu sana, wa vikosi vya usalama USA na Tanzania, angalia ujio wa obama ulivyokuwa kama mfano
Naona US hii ya kumwachia mwenyeji suala la ulinzi ndio walishakataa kabisaa,Obama alivyokuja Dar mpk Kova(RPC) alinuswa na Mbwa kama kawa pale Ikulu.Nadhani kwenye hafla za Viongozi wa Africa na kwa Africa majukumu ya Ulinzi yapo Mikononi mwa Nchi Mwenyeji!
Weka video tuone ?Sip ajabu,unakumbuka walinzi wa Endorgan wa uturuki walivyotembeza mfueni kwa wamarekani mjini washington
Una akili ndogo sana wewe.Black label sio beer ng'ombe wewe.
Ni kweli...Naona US hii ya kumwachia mwenyeji suala la ulinzi ndio walishakataa kabisaa,Obama alivyokuja Dar mpk Kova(RPC) alinuswa na Mbwa kama kawa pale Ikulu.
dodge
DELICT

Trump huyu huyu ninayemtambua sidhani kama hata anaweza kuwa na fikra za kuzuru taifa ovyo linalotawaliwa na dikteta kwa mbwembwe, mikwara na sarakasi za kila aina. wala pia sidhani kama atakuwa na nafasi ya kutafuta mkalimani baina yake na kiongozi husika wa nchi hiyo maana sisi sote twamjua huyu bwana kamwe hawezi kutema yai. itakuwa ni aibu balaa. kwaivo ndugu yangu, chunga sana wakati unapotoa kauli zako.Mkuu kwa hiyo akija hapaTrumpjukumu la ulinzi wake tunaachiwa sisi kweli ?
AiseeeTrump huyu huyu ninayemtambua sidhani kama hata anaweza kuwa na fikra za kuzuru taifa ovyo linalotawaliwa na dikteta kwa mbwembwe, mikwara na sarakasi za kila aina. wala pia sidhani kama atakuwa na nafasi ya kutafuta mkalimani baina yake na kiongozi husika wa nchi hiyo maana sisi sote twamjua huyu bwana kamwe hawezi kutema yai. itakuwa ni aibu balaa. kwaivo ndugu yangu, chunga sana wakati unapotoa kauli zako.