TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Kagame anashindwaga kuleta drama zake tz maana anatujua vizuri sana kua hatutakagi ujinga, alipgaga biti kipindi cha jk asee hakuamin kilichomkuta hahahaHiyo ilitokea pia South Afrika walinzi wa raisi wa Urusi walizuiliwa kuingia katika conference hall wakati huo Putin alishaingia ndani na wao wakazuiliwa nje.
Hao Wanyarwanda wameamua kutengeneza drama na kuwatingisha mkiwa kwenu, nadhani kingereza mnaita ku "bully"[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app