Walinzi wa Kenya na Rwanda watifuana kwenye mazishi ya Rais Moi

Walinzi wa Kenya na Rwanda watifuana kwenye mazishi ya Rais Moi

P.Kagame ndo President wa Afrika, hata hutembea na magari yake kama POTUS hata akiwa nje ya nchi beast lake humfwata, hapandi gari la mwenyeji wake hata siku moja.
 
Hebu acha uongo.Amekuja Tz mara zote anapanda gari za Tz,Rais wa Taifa tajiri Afrika Kusini akija anapanda gari za hapa sembuse wa Rwanda mkuu?Kama ni ulinzi hata magari ya nchi nyingine pamoja na kwetu yote yana ulinzi mathubuti.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hata akija TZ utafikiri POTUS, mpaka air space yetu inafungwa.
 
Kwenye masuala ya itifaki hasa inayowahusu viongozi wakuu wa kitaifa wanapofanya ziara ugenini jukumu la ulinzi wa kiongozi husika(mgeni) hufanywa na nchi mwenyeji na taratibu zote hufanyika kwa mfano anaposhuka uwanja wa ndege,walinzi wa kiongozi mgeni hukabidbi silaha zao kwa vyombo vya nchi mwenyeji na wao huwaachia suala la ulinzi wenyeji ila wakati mwingine nchi mgeni huomba kuandamana na kiongozi wao ktk ratiba yake yote na huruhusiwa kulingana na makubaliano yao hivyo hata silaha ndogo ndogo kama bastola huachiwa wabaki nazo kwaajili ya ulinzi ila wakishirikiana na nchi mwenyeji.
Sasa kwa tukio lililotokea kwa hao walinzi wa viongozi Kenya inawezekana kabisa maana itifaki ikikosewa huwa kosa linaonekana pale pale yaani matokeo siyo baadae ni pale pale sasa yamkini hao walinzi waliokuwa detail ya Kagame hawakufuata muongozo wa itifaki kuingia uwanjani pale na inawezekana kwenye muongozo labda palisemwa kabisa kiongozi husika ambaye ni Rais na wa hadhi yake wataingilia mlango A na watapokewa na Naibu wa Rais wakisonga kupita mlango A ktk zulia jekundu bila ADC's wao kwa lengo labda la kupatikana picha nzuri kwaajili ya kumbukumbu sasa mlinzi aliyepewa jukumu la kusimamia mlango A wa VVIP aliujua huo utaratibu lakini wale walinzi labda kwa kupuuza au kutopewa taarifa mapema wakajua wataingia na kiongozi wao na kumbe sivyo hivyo kumbe wao wana mlango wao mwingine wa kupita sasa walipozuiliwa wakataharuki labda inakuwaje hapa? Na ndiyo maana nasema itifaki ikikosewa inaonekana pale pale na ni kosa kubwa sana maana lilihamisha tension iliyopo pale uwanjani ya msiba na sasa wakaanza kuangaliwa wao na kujadiliwa na walioona pale moja kwa moja mkuu wa itifaki anapaswa kujiuzulu maana kuna uzembe mkubwa sana,linapokuja suala la ulinzi kama huo wa viongozi hakuna anayemuamini mwenzie wasingeshindwa kuchapana hata makonde au risasi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu wa itifaki ajiuzuru kwanini, mbona iwe kwa walinzi wa Kagame tu ilhali walikuja viongozi wengine na walinzi wao na wote wakafuata itifaki bila taharuki, iweje wa huyo mmoja ndio wakiuke?
 
Japo sijui itifaki za kiulinzi ila ninavyofahamu eneo la VIP hairuhusiwi mabaunsa wako kuingiza vifua vyao, cha kujiuliza hapo mbona hatukushuhudia hili kwa vongozi wengine wote, iwe wa Kagame tu, itakua taarifa za itifaki zilishatolewa ila hao wa Kagame wakapuuza na kuthubutu kuingia kwa kifua.
Maana walinzi wa viongozi wote huwa na vikao vya pamoja japo vya kisiri ambapo mipango inawekwa mezani jinsi gani shuguhguli yote itakwenda hadi mwisho.
Kenya walitakiwa wawape vitambulisho maalum vya kuvaa ili,kutambuana
Sasa kama huyo waziri wa ICT wa kenya amezuiwa kuingia itakuwa kwa hao wageni?
Siku ingine mjifunze kupikea marais wengi kwa dharura
Ni kosa kubwa sana kwa mlinzi kuachwa na Rais nje ya umbali unaotakiwa,anaweza hata kufukuzwa kazi
 
Inashangaza kuona askari kakamavu wa Kagame wanatembeza mkong'oto kwa askari Wenu legevu tena ndani ya ardhi yenu
Hizi kungfu vipi bro..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya walitakiwa wawape vitambulisho maalum vya kuvaa ili,kutambuana
Sasa kama huyo waziri wa ICT wa kenya amezuiwa kuingia itakuwa kwa hao wageni?
Siku ingine mjifunze kupikea marais wengi kwa dharura
Ni kosa kubwa sana kwa mlinzi kuachwa na Rais nje ya umbali unaotakiwa,anaweza hata kufukuzwa kazi

Kenya imewahi kupokea marais zaidi ya 40 kwa mpigo mmoja bila issue yoyote, yaani Kenya hupokea marais wengi zaidi ya Tanzania na haijawahi kutokea tatizo lolote, huyu Kagame amekuja Kenya mara nyingi sana, iweje kwa siku hiyo mabaunsa wake watumie vifua kihivyo hadi wakatolewa nje nje.
Angalia mfano huu hapa

Over 4,700 delegates including Heads of states, ministers, business leaders, senior UN officials and civil society representatives have gathered in Nairobi to attend the fourth UN Environment Assembly which runs from today March 11 to 15. Fourth UN Environment Assembly opens in Nairobi
 
Over 4,700 delegates including Heads of states, ministers, business leaders, senior UN officials and civil society representatives have gathered in Nairobi to attend the fourth UN Environment Assembly which runs from today March 11 to 15. Fourth UN Environment Assembly opens in Nairob
Hapo huwa kuna nguvu ya UN na FBI
Kubali tu hamkujipanga
Kenya mna matatizo sana ya kiusalama achilia mbali kupigwa na Alshabab
Ruto aliwahi kujikuta yupo airport na mlinzi mmoja tu
Msafara wa kikosi cha ulinzi wa Rais ulilipuliwa na lori la mafuta wakafa walinzi 6
Kama nyie wenyewe tu mnashindwa kujilinda,nani atawaamini kuwaachia kiongozi wake
 
Hapo huwa kuna nguvu ya UN na FBI
Kubali tu hamkujipanga
Kenya mna matatizo sana ya kiusalama achilia mbali kupigwa na Alshabab
Ruto aliwahi kujikuta yupo airport na mlinzi mmoja tu
Msafara wa kikosi cha ulinzi wa Rais ulilipuliwa na lori la mafuta wakafa walinzi 6
Kama nyie wenyewe tu mnashindwa kujilinda,nani atawaamini kuwaachia kiongozi wake

Nimekuambia Kenya huwapokea marais wengi kuizidi Tanzania, wanakuja wengi sana kwenye vikao tofauti na hakuna hata sku moja kumekua na tatizo lolote, huyu Kagame amekuja mara nyingi sana na hajawahi kuwa na issue yoyote.
Juzi wamekuja marais 10 wa Afrika, na wakaondoka wote bila tukio, najua huwa ina wauma sana kuona Alshabaab wameshindwa kutumia halfa kama hizi kufanya kitu.
 
Nyie ni watu wa kunyukwa tu
Na mnenyukwa tuuuu

Ova
Japo sijui itifaki za kiulinzi ila ninavyofahamu eneo la VIP hairuhusiwi mabaunsa wako kuingiza vifua vyao, cha kujiuliza hapo mbona hatukushuhudia hili kwa vongozi wengine wote, iwe wa Kagame tu, itakua taarifa za itifaki zilishatolewa ila hao wa Kagame wakapuuza na kuthubutu kuingia kwa kifua.
Maana walinzi wa viongozi wote huwa na vikao vya pamoja japo vya kisiri ambapo mipango inawekwa mezani jinsi gani shuguhguli yote itakwenda hadi mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ilitokea pia South Afrika walinzi wa raisi wa Urusi walizuiliwa kuingia katika conference hall wakati huo Putin alishaingia ndani na wao wakazuiliwa nje.

Hao Wanyarwanda wameamua kutengeneza drama na kuwatingisha mkiwa kwenu, nadhani kingereza mnaita ku "bully"[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Navojua kiongozi wa nchi anapoingia katika nchi ya kigeni jukumu la ulinzi ni la nchi iliyopokea mgeni.sasa hao wanyarwanda naona Kama walikua wanaonesha mbwembwe.
Kujipendekeza kwa mkulu wao na kuonekana wanafanya kazi yao tu...
Ujinga mtupu...
 
Mungiki wanyonge sana,ona hapo wanavyochezea kichapo kutoka kwa walinzi wa kagame,yan jawa hata jeshi la ethiopia kuna kipindi lilivuka boda ya kenya likatembeza kichapo cha haja

Sent using Jamii Forums mobile app
Am told that magufuli replaced presidential guard yake na TISS paramilitary/ Usalama wa Taifa yaani NIS yenu.
Pia ali strike deal na kagame who gave him special forces to protect him because he doesn't trust the army.
Apparently there was a warning of a coup attempt or a failed attempt thats why the guy is so paranoid he rarely travels outside the country and moves in convoys of heavily armoured vehicles.
 
Back
Top Bottom