Walinzi wa Kenya na Rwanda watifuana kwenye mazishi ya Rais Moi

Sio walinzi wa Kenya na Rwanda Bali walikua wanazuia viongozi wengine kuingia kwa mfano huyo ambaye amesukumwa nyuma ni waziri wa ICT wa Kenya Bwana Joe mucheru ndio walikua nyuma ya kagame na watu wengine wakazuiliwa kupitia huo mlango.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunakuwa na ushirikiano wa karibu sana, wa vikosi vya usalama USA na Tanzania, angalia ujio wa obama ulivyokuwa kama mfano
Enzi hizo Tanzania ilikuwa kweli ni Tanzania huko ulimwenguni ila sasa hivi ni mwendo wa travel ban
 
hongera sana anko magu kwa kutuwakilisha vyemaa kwenye hii hafla!😂
 
Nadhani kwenye hafla za Viongozi wa Africa na kwa Africa majukumu ya Ulinzi yapo Mikononi mwa Nchi Mwenyeji!
Naona US hii ya kumwachia mwenyeji suala la ulinzi ndio walishakataa kabisaa,Obama alivyokuja Dar mpk Kova(RPC) alinuswa na Mbwa kama kawa pale Ikulu.

dodge
 
Iliwahi tokea huko Uganda wakati wa Uzinduzi wa msikiti wa Ghadafi.

Zilipigwa kavu kavu aisee.
 
Weka video tuone ?

Sent using Jamii Forums mobile app
DELICT
Watch: The Turkish president’s bodyguards beat up US protestors after he met with Trump
May 17, 2017

By Tripti Lahiri
Asia bureau chief
“The relations between Turkey and the United States have been erected upon common democratic values and common interests.”
That’s what Turkey’s president Recep Tayyip Erdogan said at a White House press conference with US president Donald Trump on Tuesday (May 16). But shortly after the event, Erdogan’s bodyguards proceeded to beat and kick people outside the Turkish ambassador’s residence in Washington DC.
The altercation was captured on camera, and resulted in nine people being hurt, Voice of America said. A photojournalist at the site said it seemed to be a pro-Turkey gathering at first, while some witnesses said the group outside the residence included a person carrying a flag of a Kurdish party in Syria allied with a militia the US plans to aid, over Turkey’s objections.

The strained meeting between the two leaders came after the US last week said it would arm a Kurdish militia to help it fight in Raqqa, the Syrian city that is a stronghold of militant group ISIL. Turkey considers the militia a terrorist group and said it was wrong to work with them. “It will never be accepted, and it is going to be against a global agreement that we have reached,” said Erdogan at the press conference.

Another sore point between the two nations is the fact that the US is home to a cleric that Turkey believes was behind a failed coup against Erdogan last year. A harsh crackdown on the press and dissent has followed in the wake of the coup.
Despite these differences, Trump called Erdogan a strong ally in the fight against terrorism and said he was making sure military equipment ordered by Turkey was being dispatched quickly. Erdogan meanwhile praised Trump for “the legendary triumph that he has garnered in the aftermath of the elections,” despite arriving in the country in the midst of a growing uproar about Trump’s handling of sensitive information on national security.
It’s not the first time Erdogan’s security has roughed up protesters on American soil. In 2016, the Washington Post reported clashes between protesters and the Turkish leader’s security detail. And in 2014, in New York, Turkish security threatened and pushed around journalists working for a newspaper perceived to be critical of Erdogan.
On Twitter, Mahir Zeynalov, a Washington-based journalist for a Turkey-focused website, offered Americans expressing shock over the sight of the men in suits and ties kicking a man this perspective:

donald trump, us, russia, white house, democracy
💬+ Add your insights
READ THIS NEXT
Jeff Bezos is finding he can spend money on things other than space travel
February 9, 2020Quartz


RECOMMENDED STORIES

VENUE MATTERS
The families of Boeing crash victims could be left with nothing
Quartz


NOT FORGOTTEN
Photos: How China erupted into anti-American rage 20 years ago
Quartz


ENEMIES OF A FREE PRESS

2018 was a terrific year for journal
 
Mkuu kwa hiyo akija hapa Trump jukumu la ulinzi wake tunaachiwa sisi kweli ?
Trump huyu huyu ninayemtambua sidhani kama hata anaweza kuwa na fikra za kuzuru taifa ovyo linalotawaliwa na dikteta kwa mbwembwe, mikwara na sarakasi za kila aina. wala pia sidhani kama atakuwa na nafasi ya kutafuta mkalimani baina yake na kiongozi husika wa nchi hiyo maana sisi sote twamjua huyu bwana kamwe hawezi kutema yai. itakuwa ni aibu balaa. kwaivo ndugu yangu, chunga sana wakati unapotoa kauli zako.
 
Aiseee

dodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…