Walinzi wa Kenya na Rwanda watifuana kwenye mazishi ya Rais Moi

Kagame anashindwaga kuleta drama zake tz maana anatujua vizuri sana kua hatutakagi ujinga, alipgaga biti kipindi cha jk asee hakuamin kilichomkuta hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagame anashindwaga kuleta drama zake tz maana anatujua vizuri sana kua hatutakagi ujinga, alipgaga biti kipindi cha jk asee hakuamin kilichomkuta hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anko how old are you?? Hivi unadhani kuna MTU Africa hapa anamwamini kagame kiasi cha kuchukua walinzi wake??? Au hujui historia ya kagame??
Et magu aache walinzi watz achukue kwa kagame hahahaha da wee jamaa au umeandika kutania tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa hiyo akija hapa Trump jukumu la ulinzi wake tunaachiwa sisi kweli ?
Thubutu
Alipokuja Obama ikulu ilipekuliwa na wamarekani nje ndani.Toka airport walinzi wa marekani waliongoza kila kitu wa kwetu walikaa pembeni!
 
Ndio tatizo la pombe za kienyeji hili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…