Walinzi wa Rais Samia wanajisahau, uko wapi usalama wa Rais hapo?

Walinzi wa Rais Samia wanajisahau, uko wapi usalama wa Rais hapo?

Aweso ana ujuzi na mafunzo ya kuwalinda VIP au kutoa huduma ya kwanza.
Ana reflex ya kutosha ku-react kwa usahihi ikitokea tukio la kumdhuru VIP?
Hata Majaliwa wala wale wavuvi ziwani hawakuwa na ujuzi wala mafunzo ya uokozi ila si ulisikia walisaidia kuokoa wangapi?

Anaweza asiwe na ujuzi ila kwenye emergency situation akawa msaada mambo mengine siyo mpk usomee akili tu ya kawaida mwanadamu siyo hayawani
 
nakiona kichwa cha ofisa usalama T.Kiondo pale nyuma ya aweso, so relaxed akipiga story.

hakika tz ni nchi ya amani, wala haihitajiki mikiki mikiki na human power kubwa kumlinda rais. kwanza ni matumizi mabaya ya fedha na rasilimali wa watu.

IMG_20221123_174455.jpg
 
Back
Top Bottom