residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kuna meya wa Dom wa zamani ana mtoto PSU.Walinzi wa Rais wa Tz ni unprofessional sana kila mtu yuko hapo kwasababu Baba yake alikua na urafiki na mkuu wa sehemu flan au anajuana na mkuu fulani, huwa wanaleta taharuki hata mikoani kwenye ziara nyingi fujo wanaanzisha wao
Kuna mjukuu wa Ndejembi PSU.