Walinzi wa Rais wa Liberia na maafsa usalama wa Tanzania nusura wazichape, msafara wasimama kwa muda, matangazo yakatwa

Walinzi wa Rais wa Liberia na maafsa usalama wa Tanzania nusura wazichape, msafara wasimama kwa muda, matangazo yakatwa

Walinzi wa Rais wa Tz ni unprofessional sana kila mtu yuko hapo kwasababu Baba yake alikua na urafiki na mkuu wa sehemu flan au anajuana na mkuu fulani, huwa wanaleta taharuki hata mikoani kwenye ziara nyingi fujo wanaanzisha wao
Kuna meya wa Dom wa zamani ana mtoto PSU.
Kuna mjukuu wa Ndejembi PSU.
 
TZ imepigwa biti na donors, TZ ni chawa wa mabeberu.
Western Countries wanashangaa popularity ya msela yule inavyokua kwa kasi, mpaka Caribbean islands jamaa ni popular kinoma na kwa conscious blacks wa North America na European countries.
Watu wa ajabu ajabu mara nyingi Huwa popular
 
Lingekuwa Cha kipuuzi angekuwa amepeleka umeme Vijijini kwake,ameondoa waasi,njaa zimeisha na umaskini mwingine uliojaa huko Burkinabe
Jifunze kuandika vizuri halafu uje tena...watu wa bara mna matatizo gani na kiswahili?
 
Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia ndani yule mpambe wa Rais anayebeba kibegi. Imebidi matangazo yakatwe kwa muda
Shida ipo sana kwenye hawa watu wetu.

Aibu ni sisi tunaowalipa mshahara bila kuwa na uwezo wakuwawajibisha
 
Angekuwa mpambe wa trump wangemzuia? Mbona mazishi ya malkia marais wa afrika waliwekwa kwenye coaster
Screenshot_20250128-225952_Instagram Lite.jpg
 
Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia ndani yule mpambe wa Rais anayebeba kibegi. Imebidi matangazo yakatwe kwa muda
Ni kawaida mbona. Walikuwa wanasimamia protocol. Idadi ya watu na viti vishaandaliwa sasa wao wanataka waingize watu kibao kwa mgongo wa Rais wao. Ilishanitokea sana!
 
Shida ipo sana kwenye hawa watu wetu.

Aibu ni sisi tunaowalipa mshahara bila kuwa na uwezo wakuwawajibisha
Hapana. Hao wa Liberia walizidisha idadi ya watu wa kuingia na Rais wao. Kwenye hili nawapongeza
 
Kuna meya wa Dom wa zamani ana mtoto PSU.
Kuna mjukuu wa Ndejembi PSU.
Wako wengi imekua ni kazi ya connection na hao watoto wa wakuu hata mafunzoni huwa ni watu wa kudojidoji sana baadae anaambiwa kamlinde Rais
 
Ukiwa kama mzalendo ungeenda pale kuwamua huo ugomvi. Ungewapiga kichwa kimoja hao wanausalama kisha uwaweke pembeni halafu ungeng'oa hiyo bendera kwenye hiyo gari kisha uruhusu huyo raisi apite huku ukimpungia mkono
Mmh humpendi mwenzako walaiii😁😁
 
Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia ndani yule mpambe wa Rais anayebeba kibegi. Imebidi matangazo yakatwe kwa muda
Mambo ya kswauda sana.....wakihisi kitu au kuona protocal haiko sawa....humzuia kupata ufafanuzi...pia udhibiti idadi ya silaga kwa msafara husika...
 
Back
Top Bottom