Walinzi wa rais wetu fitness yao vipi?

Krav Maaga ya Israel? Achana na hiyo kitu.
 
Tanzania nchi ya aman..kungekuwa na matukio ya kupinduliwa au kuuawa kwa rais..sidhan kama ungewaona walinzi hao..we learn through mistakes
 
Kaka Unanijua? Mpaka sasa nimeshapiga shotokan, boxing, judo na sasa hivi namalizia Muay Thai. Kama napanga nao private hamna wa kuniweka chini hapo.
Ila unawajua vizuri au imekuwa kawaida yetu kutazama tusiowajua na kujilinganisha nao eti tunaweza kuspare nao? You can practice a varieties of martial arts, but remember a street fight is formless, hao jamaa nakuhakikishia usidiriki Ku spare nao, wako vzr pia wengine ni makomandoo idara ya usalama, refer yule jamaa black anaekaaga karibu na mpambe wa rais
 
Ukitaka kujua fitness yao nenda kawaingilie maeneo yao alafu uje hapa uanzishe thread nyingine yakutoa ushuhuda..."endapo utafanikiwa kuchomoka salama"
 
Ndo maana nikakuuliza kuwa unanijua? Ngoja niishie hapo. Kitu pekee hapo kilichowaweka majamaa ni mambo ya inteligenc tu. Lakini sio ktk mapigano ya kimwili hasa, ni kweli wapo vyema hata ktk hand to hand combat lakini sio wakali kihivyo, na nikwambie tu kuwa hamna Komando hapo.

Kazi ya Bodgad Mkuu hapo ni kumfica rais tu, wengine ndo wana kazi ya kupambana either kwa silaha au kwa mikono. Tanzania tasinidanganye kwamba eti tupo best sehemu kama hizi kwa zama hizi, labda ile TISS ya Mwalimu.
 
Usijaribu kucheza nao watakuumiza

Kaka Unanijua? Mpaka sasa nimeshapiga shotokan, boxing, judo na sasa hivi namalizia Muay Thai. Kama napanga nao private hamna wa kuniweka chini hapo.


Ukitaka kujua fitness yao nenda kawaingilie maeneo yao alafu uje hapa uanzishe thread nyingine yakutoa ushuhuda..."endapo utafanikiwa kuchomoka salama"

Huyu mama wa mirathi amejaribu fitness yao na mimi imenipa wasiwasi; je huyo mama angekuwa na nia mbaya na ana mafunzo ingekuwaje hapo?

 


Nimecheka kufa kuona hawa walinzi na matumbo yao yalivyo makubwa mf kama rais kavamiwa hao jamaa wataweza kumvusha kweli.


Swissme
 
Mlinzi wa rais lazma awe multipurpose just in case,ebu tafuta hata zile movie kama oympus has fallen,au white house down uone hekaheka za walinzi wa rais zinavyokuwa haraf ujiongeze kama Kwa vitambi vile vya walinzi wetu wanaweza hata robo
Mambo yakwenye kideo au sio?
 
Tatizo hujui majukumu ya hiyo taasisi ya TISS, ina mambo mengi kumlinda rais is an integrated task, hapo kuna wanausalama directly kutoka kwenye idara pia kuna maasikari wa medani kutoka jeshini ambao ni wanausalama pia, wapo kwa ajili ya Ku intercept na Ku neutralize fujo na matishio yoyote kwa rais!!
Hao wapo kikazi zaidi na sio mizaha mizaha
 
Huyu mama wa mirathi amejaribu fitness yao na mimi imenipa wasiwasi; je huyo mama angekuwa na nia mbaya na ana mafunzo ingekuwaje hapo?

Ulitaka huyo mama apigwe kabisa na wanausalama? Hapo aliondolewa kwa njia ya kawaida tu
 
jaribu siku moja kwenda kwny mkutano wa hadhara anaohutubia Mh Rais kisha ufanye tukio LA hovyo ndo utapata uhakika na hoja yako...ngoma huwa inanoga kama ukipata fursa ya kuicheza.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…