Walinzi wa rais wetu fitness yao vipi?

Walinzi wa rais wetu fitness yao vipi?

Hahah wa Mandela na mikoni yao ndani ya suti wamenichekesha sn...hawataki mchezoo
 
Mama wa Tanga walikuwa wanasukumana nae dakika kibao.

Walinzi wa mtukufu dah kuna yule mmoja sijui huwa ni mnubi ama msudani wa kusini na kati yule ukimuona hapepesi macho yuko ndindi tii kama kifuu cha mkaa. bwana four eyes ukitaka kujua fitness yao jaribu kuchokoa hadhara ya mtukufu. hapa tutaleteana story za kwenye movie tu
 
Kama umeweza kuwaona wanaelemewa na vitambi tofauti na walinzi wa viongozi wengini unataka kujua nini zaidi? Kitambi ni UZEMBE. Sioni pia sababu ya wao kuwa fiti sana coz Rais wetu hana maadui wanaotishia uhai wetu hasa ukizingatia amani iliyopo ndani ya Nchi yetu na Nchi majirani zetu.
 
Tanzania hatuna vita bwana tulikua tunamuhofia ni lema nae tuyamuweka ndani sasa ulinzi mkubwa wa nini
 
Halafu kuna hili la askari polisi hao wapya wanaorandaranda mitaani na kuongoza magari, mbona wana miili kidogo sana maumbo yao ni madogo mno , sidhani kama wataweza kumdhibiti mtu mwenye kilo tisini wale, sijui kwa nini wale maaskari polisi wa miaka ile ya themanini na mwanzoni mwa tisini kama watakuwepo tena, hawa wa sasa niliwaona huko TZ, mpaka wanangu wakawa wanawashangaa eti ndio askari wetu mbona wadogo hivyo.
Tusipo waajiri mnasema serikali inabagua by the way kichwa ndo kila kitu namjua mtu mwepesi tu kwakumuangalia ila ukitaka akutoe macho na kidole we sema ht nyoko tu
 
Matumbo ya walinzi wa Tanzania ni makubwa mno sijui kama wanaweza kimbia.


swissme
Kwani walinzi ni kwa akili ya kukimbia au kulinda!!. Akikimbia maana yake ameogopa. Usirudie kuongea kitu kama hiki teena mana utagongwa bure
 
Kwanza kwa sifa walinzi wa Rais wetu wamebobea kutokana na miili yao, sifa moja wapo ya kumlinda mtu umfunike hivyo wao wakiwa upande wowote wanauwezo wa kukufanya usimuone mtu wao, kitu kitakacho kufanya kama unauadui nae uzidi kujitokeza na kudhihirisha uadui wako kwa wanae mlinda, hapo ndio utakapo kutana na mashoati na gimkata. Ukibahatika kutoka hapo utakuwa kila unapo guswa walia umevunjika
 
Jana nilishuhudia yule mama alokua anataka kuwasilisha malalamiko yake kwa presdaa, dizain kama yule mwanausalama alishindwa kumthibiti yule mama mpaka alipo kwenda kusaidiwa
 
Hamna kitu kuna mmoja kule Tanga kamshindwa yule mama wa milathi... Anavuliwa vuliwa koti kama pimbi.
 
Tusipo waajiri mnasema serikali inabagua by the way kichwa ndo kila kitu namjua mtu mwepesi tu kwakumuangalia ila ukitaka akutoe macho na kidole we sema ht nyoko tu
Ndugu yangu hata kwenye senema hawamuweki steringi mfupi ampige mtu mkubwa , lazima wataonyesha kamuua kwa kitu chenye ncha kali, tena baada ya mbilinge ya hatari.
 
Hawa walinzi wetuu Amani yetu naona imewalevya vibaya , yani wao washaweka akilini kuwa always tuko safe , hamna ambush, attack, yani wao washazoea :,

√kupigana na wapinzani
√kurushia raia mabomu ya machozi
√kupiga teke masufuria ya mam ntilie n.k

wao hawaju swala la uvamizi na utakaji njara kisa Tanzania tuna amani, hao ndo vyeti wana danganya mtu kaenda kusome security guard aje kumlinda raisi kwelii

√√Hii amani tunayolingia itakuja kutugharimu kabisaa,

√√askari hata kuruka kichura shida utaweza kukroo kwelii,



***Kwanza wale walioitwa na Makonda washakwenda, ndo ishu zao hizoo*
 
Kwani walinzi ni kwa akili ya kukimbia au kulinda!!. Akikimbia maana yake ameogopa. Usirudie kuongea kitu kama hiki teena mana utagongwa bure
Hivi mfano wakitaka kumuokoa rais akitaka kuzama kwenye maji na hayo matumbo.


swissme
 
Aseeh, nimewakubali hao walinzi wa Netanyahu
 
Huyu mmoja juzi alizidiwa nguvu na m'mama hakuna walinzi pale kuna picha ya walinzi. Yule bi dada alikuwa anaonekana makini sana sijui yupo wapi siku hizi
 
nnachoweza kukujibu tu ni kuwa I practice martial arts, najua umuhimu wa mimi kuwa na uzito wa kawaida hasa kutokuwa na kitambi and I really hate it, lakini naamini kuwa yeyote aliyepewa jukumu hasa la kiulinzi ni mtu sahihi maana amepatikana kwenye kundi la walio bora, sifanyi tathimini ya ukomavu wao kwa kuangalia vitambi bali ni performance zao,
naamini taasisi za kiulinzi za nchi yetu hazikufanya makosa kuwaweka hao maafisa usalama kuchukua hilo jukumu, OSS
Hivyo vitambi vyao ni vikubwa sana, kama mtu uko vyema kwenye Martial Arts unaweza ukapanga nao mkono.
 
Back
Top Bottom