Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU jeshini kuna aina nyingi za martial arts, lakini zinazofundishwa sana hapa kwetu ni JUDO KOMBAT, TAE KWON DO, NA KOMBAT KARATE, wanaokazia zaidi haya mambo ni maasikari wa vikosi maalum mfano jeshini CDO lazima umudu haya mambo kisawa sawa ndipo uendelee na course zingine za medani lakini pia kwa sasa hata KRAV MAGA imeanza kuingia jeshini ( for Commandos only)Nina knowledge ya baadhi ya sanaa za mapigano. Mtu mwenye kitambi kama wa kwenye hizo picha atakua na faida kama atakua anafanya jiu jitsu lakini ataweza kutamba akikutana na mtu anayefanya krav maga?
Vipi kama akikutana na gurkha?
Sijui jeshi letu limespecialize kwenye staili gani ila zamani niliambiwa polisi wanafanya judo wanajeshi kara te.
Hawa waliochaguliwa miongoni mwa walio bora miili yao inawasaliti, labda kama wanavaa bullet proof vest tatu tatu.
Wangeajiri warefu pekeake, wangekosea Sana maana kuna mikoa asili yao ni wafupi Kama Moro, Lindi nk, vipi wao, hawana haki kuwa walinzi wa Taifa lao kama polisi?Halafu kuna hili la askari polisi hao wapya wanaorandaranda mitaani na kuongoza magari, mbona wana miili kidogo sana maumbo yao ni madogo mno , sidhani kama wataweza kumdhibiti mtu mwenye kilo tisini wale, sijui kwa nini wale maaskari polisi wa miaka ile ya themanini na mwanzoni mwa tisini kama watakuwepo tena, hawa wa sasa niliwaona huko TZ, mpaka wanangu wakawa wanawashangaa eti ndio askari wetu mbona wadogo hivyo.
Krav maga kuingizwa mwaka huu tena kwa ajili ya Komando pekee ni kielelezo cha fitness yetu inapotelea wapi. Hiyo staili jeshi la Israel wamezurura nayo mpaka sasa raia wao wanaifanya.MKUU jeshini kuna aina nyingi za martial arts, lakini zinazofundishwa sana hapa kwetu ni JUDO KOMBAT, TAE KWON DO, NA KOMBAT KARATE, wanaokazia zaidi haya mambo ni maasikari wa vikosi maalum mfano jeshini CDO lazima umudu haya mambo kisawa sawa ndipo uendelee na course zingine za medani lakini pia kwa sasa hata KRAV MAGA imeanza kuingia jeshini ( for Commandos only)
mkuu mifumo ya ngumi za jeshini ni tofauti na ya kawaida mfano Karate ya jeshini ni ya kupiga na kuua adui lakini uraiani mchezo wa kujihami, pia judo ya jeshi ni ya mapigano yaani JUDO KOMBAT inafundishwa kwa maasikari ili kuua adui hata kata zake ziko modified sana ili kuwekwa kwenye course za kijeshiKrav maga kuingizwa mwaka huu tena kwa ajili ya Komando pekee ni kielelezo cha fitness yetu inapotelea wapi. Hiyo staili jeshi la Israel wamezurura nayo mpaka sasa raia wao wanaifanya.
Askari wa kawaida anayepambana na wahalifu kila siku alitakiwa awe na staili ya kumneutralize adui faster, staili ipi inafaa kwa hilo kama siyo krav maga au LINE? Na bado unamfundisha tae kwon do ambayo misikiti karibia yote inafundisha.
Sawa mkuu nimekupatamkuu mifumo ya ngumi za jeshini ni tofauti na ya kawaida mfano Karate ya jeshini ni ya kupiga na kuua adui lakini uraiani mchezo wa kujihami, pia judo ya jeshi ni ya mapigano yaani JUDO KOMBAT inafundishwa kwa maasikari ili kuua adui hata kata zake ziko modified sana ili kuwekwa kwenye course za kijeshi
Wewe Interehamwe vipi?Picha ya kwanza hapo kiston,cheki huyo jamaa alivyosimama stance.Hio inaitwa gusa unate,utapigwa kata funua uishie kua chizi bureee.
Sijambo mke wangu mpnz,Burundi mnaendeleaje?Wewe Interehamwe vipi?
Huyo jamaa anabonda balaa.mda mwingine mazoezi tu sio tiba ya kitambi, mfano mcheza karate maarufu SAM HUNG ni mwepesi na ana routine phyisical workout lakini ana kitambi au naye ni mdebwedo hana mazoezi?
Hiyo ilikuwa ndio kiboko yao basi ikabatizwa jina hilo lazima utembelee kucha. Ni jina tu halina uhusiano na muungano wala nchi jiraniHaha ivi hilo neno TANGANYIKA JEKI asili yake ni kabla ya Muungano ama?
Je Zanzibar vp kuna Zanzibar jeki?
Ama Tanganyika Jeki inatumika hadi upande mwingine wa Muungano yani Zanzibar??
Na vp nchi Jirani nao wanatumia Tanganyika Jeki ama wana jeki zao? Say Kenya Jeki ama Uganda jeki?
Wenye uelewa tunaelewa ni ngangari sasa wewe usieamin hebu thibitisha hapaKwanini usianze wewe kwa kuthibitisha huo unaoita u "imara"?. Mimi sijasema kuwa ni imara au la! nimefikiria tu "katikati ya mistari".
uelewa wako nadhani utakuwa unachochewa na huba, huo ungangari umeuthibitisha katika zile show za uhuru au? labda kama huwa wana shiriki ule upuuzi, kipimo cha ungangari huthibitika pindi jaribu linapojitokeza na jinsi gani litakabiliwa na wahusika.Wenye uelewa tunaelewa ni ngangari sasa wewe usieamin hebu thibitisha hapa
Sijambo mme wangu mpnz,Burundi mnaendeleaje?
Umemis dudu mke wanguAisee!