mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Umeongea kinyume Infantry SoldierMimi sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea kinyume Infantry SoldierMimi sijui
Ebu fatilia tu hata askari walio depo au maafusa wanafunzi walio mafunzo uone kama utamkuta mwenye kitambi,hawawez kuwa navyo sababu wanafanya mazoez na wanafanya mazoez ya kukimbia sana tu kwahyo hao jamaa muda wao wa nje ya kazi wanautumia kuweka miguu juu na kugonga bia na mbuzi ndio maana wamejaa matumbomnachokitaka nyie ni mionekano ya vifua na sio utendaji kazi, IDD AMIN alikuwa komandoo mwenye mazoezi ya kutosha lakini alikuwa na kitambi, fanya uwaingilie katika jukum lao na mazoezi yako ya gym ili uone kitakachotokea mkuu
Umenena vyema.kwanini rais Bush alirushiwa kiatu akakikwepa yeye mwenyewe licha ya kuwa na walinzi makini wasio na vitambi? jibu tafadhali
Huyu jamaa GENTAMYCINE kila mtu anamsifia mwenye haya mambo, yupo idarani TISS kumbeMkuu GENTAMYCINE hebu njoo umtolee ufafanuzi huyu jamaa. Anazarau huduma za siri wetu.
Kwanini usianze wewe kwa kuthibitisha huo unaoita u "imara"?. Mimi sijasema kuwa ni imara au la! nimefikiria tu "katikati ya mistari".Thibitisha kua sio imara?
Watu wenye nia ya "kumdhuru" Rais huwa hawamsogelei kwa karibu, hivyo haihitaji kuwa na misuli ili kumlinda Rais.Kwahiyo kwa wenzetu ni mbwembwe ila sisi ndo tunajua?
Pale kuna wanausalama zaidi ya 30, usidanganyike kwa kuwaona hao 2 hapo mbele, na kila unaemuona ana jukumu lake, amini usiamini kati ya hao unaowaona kuna wengine hawana hata silaha, kwa ufupi tu rais anapokua hapo usalama wataifa wanakuwa wametawanyika katika pande zote 4, ie N,E,W na S. Na kuna wengine kamwe hutawajua ingawa wapo hapo,Maumbile hayawezi kukupa picha ya fitness ya mtu?au fitness unailewaje labda?au hujui kwamba kitambi ni dalili ya mtu asiyefanya mazoezi au asiyefanya mazoez ya kutosha?haijalishi picha imepigiwa wap muonekano unabaki palepale una kitambi una kitambi tu haijalishi umepigwa picha mjini au chato.haraf hata umri wao unaonekana kusogea pia,hawa hawapungui miaka arobaini na kitu,sasa jiulize kama umri huo bado ni umri wa kukurukakara za kiulinzi zikijitokeza
Mtu Ana kitambi na umri umesogea bado una Imani nae kwamba yuko fiti?ama kwel Kuna watu mna imani
yesBulkiness of the bodyguards becomes essential in case the circumstances demands them to take the bullet for the president.
Hoja yako haina mashiko kwa kulinganisha Movie na uhalisia. Kwenye movie kuna uwongo mwingi sana kuliko uhalisia. Movie ni kwa ajili ya entertainment tu.Mlinzi wa rais lazma awe multipurpose just in case,ebu tafuta hata zile movie kama oympus has fallen,au white house down uone hekaheka za walinzi wa rais zinavyokuwa haraf ujiongeze kama Kwa vitambi vile vya walinzi wetu wanaweza hata robo
Sizani kwamba kuna ulinzi zaidi yahuo unao uona namba moja maana hata hao unawaza kua wakimpamba rais ndo ulinzi mkali sio kweli maana kwetu unaweza sema mlinzi nimmoja ila huwezi pata nafasi yakufanya huu ujinga ulioko marekani kumkamata rais kwenye mazingira mabaya ya kukaangwa chipsKwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia Kwa umakini muonekano wa walinzi wa rais wetu mpendwa ukilinganisha na walinzi wa Marais wengine
Katika kufatilia huko nimegundua kuwa muonekano wa walinzi wa Marais wengine ni wa kikakamavu sana ukilinganisha na walinzi wa Marais wetu hapa tanzania ambao ni watu wazima hv wenye vitambi vyao ambao wananipa shaka kama wanaweza kukurukakara za kukabiliana na mtu mkakamavu au mbio za kukimbizana na mhalifu anayetoroka,nimejaribu kuweka picha za walinzi wa Marais mbalimbali na hawa wa kwetu mjinee.
Karibuni wadau mchangie mnauonaje monekano wa walinzi wetu wa rais na kama unakidhi mahitaji ya unyeti wa kazi yao.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nnachoweza kukujibu tu ni kuwa I practice martial arts, najua umuhimu wa mimi kuwa na uzito wa kawaida hasa kutokuwa na kitambi and I really hate it, lakini naamini kuwa yeyote aliyepewa jukumu hasa la kiulinzi ni mtu sahihi maana amepatikana kwenye kundi la walio bora, sifanyi tathimini ya ukomavu wao kwa kuangalia vitambi bali ni performance zao,Hapo sasa ndiyo unapokosea wewe na kila mwenye mawazo kama yako.
Mkiulizwa mnakimbilia kusema "Waingilie kwenye majukumu uone"
Mazoezi ya gym hayatoshi kwenda kupambana na mtu ambaye anafanya plyometrics na kuupeleka mwili wake to the extreme, niambie kama unafanya plyometrics unaweza kutoka kitambi?
Avatar yako unaonekana umekaa stance ya mapigano natarajia jibu lenye akili.
Nina knowledge ya baadhi ya sanaa za mapigano. Mtu mwenye kitambi kama wa kwenye hizo picha atakua na faida kama atakua anafanya jiu jitsu lakini ataweza kutamba akikutana na mtu anayefanya krav maga?nnachoweza kukujibu tu ni kuwa I practice martial arts, najua umuhimu wa mimi kuwa na uzito wa kawaida hasa kutokuwa na kitambi and I really hate it, lakini naamini kuwa yeyote aliyepewa jukumu hasa la kiulinzi ni mtu sahihi maana amepatikana kwenye kundi la walio bora, sifanyi tathimini ya ukomavu wao kwa kuangalia vitambi bali ni performance zao,
naamini taasisi za kiulinzi za nchi yetu hazikufanya makosa kuwaweka hao maafisa usalama kuchukua hilo jukumu, OSS