Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlinzi wa rais lazma awe multipurpose just in case,ebu tafuta hata zile movie kama oympus has fallen,au white house down uone hekaheka za walinzi wa rais zinavyokuwa haraf ujiongeze kama Kwa vitambi vile vya walinzi wetu wanaweza hata roboToka lini walinzi wa Rais wakakimbizana na wahalifu?
Kumlinda Rais kunahitaji ukakamavu wa misuli?
Kumlinda Rais kunahitaji akili na Intellijensia ya hali ya juu basi. Hivyo vingine ni mbwe mbwe tu.
Kupata mafunzo haraf hufanyi mazoez ya mara Kwa mara kubaki na fitness yako haikufanyi kuwa fitiMawazo tu...
Wote wanamafunzo maalum na wote wako vizuri.....
Nifikiriavyo mimi ao Wapuni wanaweza pambana Zaidi ya SAA bila kukata pumzi.....
Mkuu sijakuelewa, kwa kumuangalia mtu utajuaje kama yuko fit au la, mavazi, ? maumbile ? pia tofautisha picha uliyoiweka hapo ambapo ni mazingira ya chato, muonekano wa hao jamaa sivyo kama wanavyoonekana wakiwa kwenye shughuli za kitaifa mf uwanja wa taifa au hata kiongozi anapokuwa nje ya nchi, kwa ufupi tu ukitaka kujua kama wapo fiti au la, jaribu lolote mbele ya mheshimiwaKwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia Kwa umakini muonekano wa walinzi wa rais wetu mpendwa ukilinganisha na walinzi wa Marais wengine
Katika kufatilia huko nimegundua kuwa muonekano wa walinzi wa Marais wengine ni wa kikakamavu sana ukilinganisha na walinzi wa Marais wetu hapa tanzania ambao ni watu wazima hv wenye vitambi vyao ambao wananipa shaka kama wanaweza kukurukakara za kukabiliana na mtu mkakamavu au mbio za kukimbizana na mhalifu anayetoroka,nimejaribu kuweka picha za walinzi wa Marais mbalimbali na hawa wa kwetu mjinee.
Karibuni wadau mchangie mnauonaje monekano wa walinzi wetu wa rais na kama unakidhi mahitaji ya unyeti wa kazi yao.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kila mtu pale anakazi yake,kuna wa karibu,kuna wa mbele,nyuma na kila upande. Na wengi ni secret.Kumbe bila shaka wewe unaona aliekaribu unahukumu. Ngoma nzito hiyo mzee jaribu uone.Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia Kwa umakini muonekano wa walinzi wa rais wetu mpendwa ukilinganisha na walinzi wa Marais wengine
Katika kufatilia huko nimegundua kuwa muonekano wa walinzi wa Marais wengine ni wa kikakamavu sana ukilinganisha na walinzi wa Marais wetu hapa tanzania ambao ni watu wazima hv wenye vitambi vyao ambao wananipa shaka kama wanaweza kukurukakara za kukabiliana na mtu mkakamavu au mbio za kukimbizana na mhalifu anayetoroka,nimejaribu kuweka picha za walinzi wa Marais mbalimbali na hawa wa kwetu mjinee.
Karibuni wadau mchangie mnauonaje monekano wa walinzi wetu wa rais na kama unakidhi mahitaji ya unyeti wa kazi yao.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wamasai tena wametoka wap Acha ubwege wewe jadili mada husika bac wapelekee mkewo kama unaona ngombe wanafaidiTatizo lako mbona dogo sana mkuu. Jaribu kukatisha uende kuchukua kiatu chako pale kwa mng'arishaji uone. Waona hata kuleee mbali kwenye magari waliokaa kibwege bwege?? Wote walinzi wale. Sasa sijui unataka ulinzi wa wakimbiaji?? Ingelikuwa hivyo wangeli tafuta wamasai wezi wa mifugo tu
yupi huyo?huyo mlinzi mwingine huwa namuona ni kama ndugu yake vile wa kumsaidia mambo fulani,huwa ninamchunguza kimakini jamaa guwa hayupo serious kihivyo