tanta lila
Member
- Jan 3, 2017
- 23
- 23
usije ukarogwa ukajaribu....huuuhuuuhuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sanaInatokana na mazingira mdogo wangu hiyo inaitwa "kamoflagi"
Hujambo binti?Hivi mfano wakitaka kumuokoa rais akitaka kuzama kwenye maji na hayo matumbo.
swissme
Umefafanua vizuri mpaka nimeanza kukufikiria si mwenzangu!Vigezo vya ulinzi wa viongozi au VIP protection huwa vinafanana na vinakuja kutofautiana kwenye Technology na protection clearance level kwa viongozi, clearance level kubwa kabisa ya kidunia ni 5 pia ulinzi wa viongozi unategemea na maeneo ambayo kiongozi yupo, threat zinazoweza kujitokeza kwa mazingira ambayo kiongozi yupo ,pia hali ya usalama wa nchi husika mfano ulinzi wa viongozi wa nchi za mashariki ya kati ni tofauti na ulinzi wa viongozi wetu mfano huku kwetu wanaobeba silaha za kuonekana kabisa ni FFU, lakini wale wavaa suti wanabeba lakini zinakuwa zimejificha lakini ukienda baadhi ya nchi wote wanabeba tena wengine mpaka machine gun
Vigezo huwa ni 6 kwa level ya kidunia hata vyuo vingi dunian vya mafunzo ya VIP protection wanafundisha lakini kuna nchi wanaviongeza mpaka 10 ila US yeye anavyo mpaka 15 na hii inatokana na uwezo wa rasilimali za nchi na Technology wao wanatumia presidential protection clearance level zote 5 kwa wakati mmoja na kumfanya rais wa US kuwa mwanadamu wenye ulinzi mkubwa duniani tofauti na viongozi wengine wanaotumia level of clearance kuanzia 2 - 4 na hii wanafanya wamarekani kutokana na rasilimali fedha na rasilimali technology waliyonayo mfano ndege ya Air force pekee kukaa angani ni $228,000 per hour to fly. na ziko ndege mbili zinafatana kila sehemu trip moja ya rais US inakadiliwa kuwa ni kati ya dola 15 - 20 milion kwa trip moja na hii inatokana na uwezo wa rasilimali za fedha na technology pia US ndo nchi pekee ambayo kiongozi wake anatembea na vifaa vyake vyote bajeti tu ya ulinzi wa rais na makamu wake kwa mwaka ni $1.4 billion.
Mtu yeyote mwenye kazi hii ni lazima kuwa fit physical & mental pia wanasema kuwa angalau uwe na elimu ya chuo na wanapendekeza kuanzia GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea kwani matumizi ya mwili,silaha na akili ni mkubwa sana pia husiwe na criminal background vipo vingi sana lakini kwa uchache ni hivyo
Walizi wa viongozi wanatakiwa kuwa fiti kimazoezi hasa ya kutumia silaha na matumizi wa mwili yani mikono na miguu pia wanapendekeza sana huwe na shabaha kwani wanasema huweze kuhit target ,hata kwenye kundi la watu wengi pia kila risasi inayotoka ni lazima ifanye madhara kwa adui
Pia wanasema huwe Smart thinker si great thinker . Kwani wanaitaji mahamuzi sahihi tena kwa muda mfupi kwani Smart thinker ni yule mwenye mahamuzi sahihi kwa muda mfupi kwa wakati wowote lakini great thinker unaweza kuwa na mahamuzi sahihi kwa wakati fulani anadhani yeye kuwa ni sahihi
Pia hakuna kipengere kinachosema mlinzi wa viongozi ni lazima kuwa mwembamba,mnene au wakawaida wanachotaka ni kuwa mwepesi tu na ni ukweli usiofichika kuwa watu wanamwili mkubwa lakini ni wepesi kuliko mwenye mwili mgodo pia ukakamavu haujalishi aina ya mwili aidha mwembamba au mnene
Mkuu mwinyi alichezea makofi mbele ya kadamnasi na pia kumbuka kikwete alidakwa mguu pia yule mama alie kuwa anataka kuonge na rais kuhusu kudhurumiwa ila yule mlinzi alizidiwa nguvu na mwanamkeMkuu, kama unaona hao walinzi ni wachovu na manyama uzembe, nenda kampige ngumi Rais uone cha mtema kuni
Mkuu labda nikueleze kitu ni kuwa taaluma hiyo tumeisomea kwa miaka mingi na mataifa makubwa huwezi kuleta walinzi wasio jua hata basic principal ya body protectionHapa ninachokiona ni wivu. Kuna watu wanaitamani sana hiyo nafasi. Alichofanya Rais ni sahihi. Hata Donald Trump ameendelea na walinzi wake aliokuwa nao wakati wa Kampeni
Ukweli ni kuwa rais ana walinzi wachovu sana huwezi kulinganisha na marais kama mseveni na kagameMbona mnahoji sana ulinzi wa rais?
Mnataka kumbaka!
Mkuu tupo jikoni ukipata nafasi ya kuona ujio wa rais eneo lako uje uone mwisho wake uko wapAcha siasa za kitoto wewe Msongea,askari anatakiwa kuwa na kilo 65 tu!!Mbali na hapo kuna siasa au inategemea na urefu wake.Kitambi ni mwiko
Vigezo vya ulinzi wa viongozi au VIP protection huwa vinafanana na vinakuja kutofautiana kwenye Technology na protection clearance level kwa viongozi, clearance level kubwa kabisa ya kidunia ni 5 pia ulinzi wa viongozi unategemea na maeneo ambayo kiongozi yupo, threat zinazoweza kujitokeza kwa mazingira ambayo kiongozi yupo ,pia hali ya usalama wa nchi husika mfano ulinzi wa viongozi wa nchi za mashariki ya kati ni tofauti na ulinzi wa viongozi wetu mfano huku kwetu wanaobeba silaha za kuonekana kabisa ni FFU, lakini wale wavaa suti wanabeba lakini zinakuwa zimejificha lakini ukienda baadhi ya nchi wote wanabeba tena wengine mpaka machine gun
Vigezo huwa ni 6 kwa level ya kidunia hata vyuo vingi dunian vya mafunzo ya VIP protection wanafundisha lakini kuna nchi wanaviongeza mpaka 10 ila US yeye anavyo mpaka 15 na hii inatokana na uwezo wa rasilimali za nchi na Technology wao wanatumia presidential protection clearance level zote 5 kwa wakati mmoja na kumfanya rais wa US kuwa mwanadamu wenye ulinzi mkubwa duniani tofauti na viongozi wengine wanaotumia level of clearance kuanzia 2 - 4 na hii wanafanya wamarekani kutokana na rasilimali fedha na rasilimali technology waliyonayo mfano ndege ya Air force pekee kukaa angani ni $228,000 per hour to fly. na ziko ndege mbili zinafatana kila sehemu trip moja ya rais US inakadiliwa kuwa ni kati ya dola 15 - 20 milion kwa trip moja na hii inatokana na uwezo wa rasilimali za fedha na technology pia US ndo nchi pekee ambayo kiongozi wake anatembea na vifaa vyake vyote bajeti tu ya ulinzi wa rais na makamu wake kwa mwaka ni $1.4 billion.
Mtu yeyote mwenye kazi hii ni lazima kuwa fit physical & mental pia wanasema kuwa angalau uwe na elimu ya chuo na wanapendekeza kuanzia GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea kwani matumizi ya mwili,silaha na akili ni mkubwa sana pia husiwe na criminal background vipo vingi sana lakini kwa uchache ni hivyo
Walizi wa viongozi wanatakiwa kuwa fiti kimazoezi hasa ya kutumia silaha na matumizi wa mwili yani mikono na miguu pia wanapendekeza sana huwe na shabaha kwani wanasema huweze kuhit target ,hata kwenye kundi la watu wengi pia kila risasi inayotoka ni lazima ifanye madhara kwa adui
Pia wanasema huwe Smart thinker si great thinker . Kwani wanaitaji mahamuzi sahihi tena kwa muda mfupi kwani Smart thinker ni yule mwenye mahamuzi sahihi kwa muda mfupi kwa wakati wowote lakini great thinker unaweza kuwa na mahamuzi sahihi kwa wakati fulani anadhani yeye kuwa ni sahihi
Pia hakuna kipengere kinachosema mlinzi wa viongozi ni lazima kuwa mwembamba,mnene au wakawaida wanachotaka ni kuwa mwepesi tu na ni ukweli usiofichika kuwa watu wanamwili mkubwa lakini ni wepesi kuliko mwenye mwili mgodo pia ukakamavu haujalishi aina ya mwili aidha mwembamba au mnene
Unapozungumzia ulinzi (protection) na usalama(security) unazungumzia matumizi ya AKILI,SILAHA NA MWILI
AKILI hapa ndio zinatumika zile zinazoitwa hisia 6 au "sixth sense"
Kila binadamu ana body sensitivity 3 ila wanausalama wanakwenda kusomea zingine tatu ndo inakuja kuwa 6 kwani unatakiwa kujua duniani kuna aina tatu za elimu
1 Elimu ya kidini
2 Elimu ya kidunia hii ndio tunafundishwa mashuleni
3 Elimu ya utambuzi elimu hii wanafundishwa watu wachache ambao wanakuwa trained kwa ajili ya kudeal na watu wenye elimu hzo mbili yani ya dini na kidunia
nikutajie kuanzia hisia ya 4 mpka 6 kwa ufupi
4 Ni uwezo wa kumsoma mtu kwa sura yake
kwa kumwangalia tu tutakubaliana ya kuwa sura inaongea sura inaweza elezea kila kitu kinachotokea ndani ya mwili wako mfano furaha,huzuni,shauku,hofu,jazba na kukata tamaa
5 Ni uwezo wa kumsoma mtu kupitia moyo wake hapa napenda kuwaelezea kidogo na kuwapa mfano juu ya usomaji wa moyo mtu aliyeiva ktk maswala ya ujasusi anauwezo mkubwa wa kujua ata anapomtongoza mwanamke anajua atajibu nini au anawaza nini kihisia juu yake kwan lipo somo maalumu kwa ajiri ya wanawake ktk tasinia ya ujasusi inamtambua mwanamke kama ni silaha ya maangamizi ( Weapons of Mass Distraction)
6 Ni uwezo wa kumsoma mtu ndani ya ubongo pia tunatakiwa kujua ubongo ndio command center ya mwili wa kila mwanadamu command zote zinatoka ndani ya ubongo na ukiweza kufuzu vizuri somo ili ambazo pass mark zake ni 70% utakuwa unawezo mkubwa sana wa mambo wa ujasusi
SILAHA hapa inatakiwa kujua matunizi sahihi ya silaha za aina 5 tofauti pili huwe na uwezo wa kulenga shabaha kwani kila risasi utakayo piga ni lazima uhit target , kwani kazi yako unaifanya kwenye mikusanyiko ya watu wengi kwani mara nying viongozi huwa kwenye mikusanyiko ya watu so ni lazima adui tu ndie adhibitiwe si watu wasio na hatia
MWILI hapa ndo linapokuja swala fitness ya mwili na fitness inapatikana kwa kufanya mazoezi ya ukakamavu si mazoezi ya kujaza au kupunguza mwili sasa ninaposema wepesi inatakiwa huwe mwepesi wa mwili na akili (smart thinker) na ndo maana nakwambia hakuna kipengere kinachosema mlinzi wa viongozi ni lazima huwe ni mwembamba au mwili mkubwa ila unatakiwa huwe mkakamavu na utayali wa kukabili tukio lolote kwa wakat wowote
Amenena vyema ila hajajibu swali langu la ubora wa walinzi wetuAsanteh kwa kutupa vitu vya kitaalamu
Ndio tunapenda jamii forum iwe hivi
Sio kuandika ujinga na umbea tu