Walinzi wa SUMA JKT mmekuwa Kero sana au ni stress za kukatishwa ndoto za kuwa JWTZ


Dah
 
Wengi Wa wale vijana wana ka inferiority complex Fulani hivi.. Huwa hawajiamini kabisa, na matokeo yake hupenda kutumia mabavu unnecessarily..

Kingine, ni wanapenda kuomba hela kuliko maelezo..

Wajinga wale wamepauka
 

Bora waondolewe tu
 
Nilinunua ugali na maharage kwa mama ntilie nikaenda kumwambia mgonjwa watakaohitaji awapatie akikosa atupe tu maana bila hivyo nisingeingia.

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwani Suma jkt ,wamekufanya nini broh? mbona umekomaa nao sana... negatively.. Hivi suma jkt na CCM bora nini?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Jamaa jinga sana lile nikaomba basi kama unataka chakula naomba niingie na matunda halafu niende nichukue chakula kwenye cafe za chuo mle ndani au za hosipital maana zile cafe wana msosi classic sana linasema cafe za ndani ni kwa ajiri ya wafanyakazi na wanafunzi si kwa ajiri ya wagonjwa.

Ndo ikabidi niende kwa mamantilie nikachukua liugali na maharage.

Halafu lilivyo jinga hata kama una maji na soda hakuna kuingia linasema vinywaji siyo chakula.
 
Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia. Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA
Sasa matunda ni bangi??😃😄
 
SUMA upande mwingine ni wafitini sana. Wanawafitinisha wafanyakazi na mameneja maofisini.

Yaani walipo SUMA, watu kufukuzwa kazi ni kawaida.

Washenzi sana hawa mgambo
 
Nilinunua ugali na maharage kwa mama ntilie nikaenda kumwambia mgonjwa watakaohitaji awapatie akikosa atupe tu maana bila hivyo nisingeingia.
Dah pole sana kwa usumbufu ulioupata dude!
 
Wengi Wa wale vijana wana ka inferiority complex Fulani hivi.. Huwa hawajiamini kabisa, na matokeo yake hupenda kutumia mabavu unnecessarily..

Kingine, ni wanapenda kuomba hela kuliko maelezo..

Siwezi kumpa hela sumajkt hata siku moja wakafie huko na njaa zao
 

Dah
 
Kama ni hivyo hawafai kuingia kwenye JW.
 
Nikiwa chuo fulani posta mwaka wa 2 nikanunue kigari nikawa naenda nacho chuo,sasa ilikuwa sina kibali basi kila nikiingia naombwa hela ya maji,nikitoka ya maji,nikaona siyo issue kihivyo.

Sasa siku hyo ile natoka tu nakaribia getini pancha hyo na spare tyre sina,hapakuwa hata na mmoja aliyekuja nisaidia pale getini na kunifokea juu mie nkawa nawachora tu,nikaenda ziba pancha nikasepa zangu.

Siku ya pili nilifatilia kibali nikakipata,ilikuwa ni mwendo wa kupiga honi tu na kufunguliwa mpaka namaliza chuo sikutowaga tena hata cent japo najua walinichukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…