Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #61
Utumwa uko pale pale hautakuja kuisha kamwe...Aseeeh Dah!
Wale lazima wawe watumwa cz wengi ni walevi wa pombe za kienyeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utumwa uko pale pale hautakuja kuisha kamwe...Aseeeh Dah!
Inasikitisha. Naambiwa makampuni mengi ya ulinzi ndiyo mtindo wa biashara yao. wanalipwa pesa nyingi kwa lindo moja lakini wao wanawalipa mshahara kiduchu wafanyakazi wao na kujipatia faida kubwa. Wakikuona mbishi na mlalamishi wanakuvizia lindoni kukutafutia au kukuundia kosa.
Wengi Wa wale vijana wana ka inferiority complex Fulani hivi.. Huwa hawajiamini kabisa, na matokeo yake hupenda kutumia mabavu unnecessarily..
Kingine, ni wanapenda kuomba hela kuliko maelezo..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Matunda siyo chakula!
Mkuu baadaye ikawaje kumfikishia mgonjwa wako mahitaji yake?
Kwa karipio la Dc Heri jana pale Nit nadhani watajirekebisha pakubwa!
Vinginevyo wakiendelea kufanya mzaha na vitimbi, kampuni itakosa wateja na ajira zao kuwepo mashskani.
Nilinunua ugali na maharage kwa mama ntilie nikaenda kumwambia mgonjwa watakaohitaji awapatie akikosa atupe tu maana bila hivyo nisingeingia.
Jamaa jinga sana lile nikaomba basi kama unataka chakula naomba niingie na matunda halafu niende nichukue chakula kwenye cafe za chuo mle ndani au za hosipital maana zile cafe wana msosi classic sana linasema cafe za ndani ni kwa ajiri ya wafanyakazi na wanafunzi si kwa ajiri ya wagonjwa.[emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa matunda ni bangi??😃😄Pale Bugando kuna mmoja alinizuia eti matunda siyo chakula anataka waingie walio na chakula tu. Nilijiuliza sana mgonjwa wangu anahitaji matunda jamaa kakaza hakuna kuingia. Ujingaujinga tu na stress zao hawa vijana wa SUMA
Dah pole sana kwa usumbufu ulioupata dude!Nilinunua ugali na maharage kwa mama ntilie nikaenda kumwambia mgonjwa watakaohitaji awapatie akikosa atupe tu maana bila hivyo nisingeingia.
Wengi Wa wale vijana wana ka inferiority complex Fulani hivi.. Huwa hawajiamini kabisa, na matokeo yake hupenda kutumia mabavu unnecessarily..
Kingine, ni wanapenda kuomba hela kuliko maelezo..
Kwani Suma jkt ,wamekufanya nini broh? mbona umekomaa nao sana... negatively.. Hivi suma jkt na CCM bora nini?
Jamaa jinga sana lile nikaomba basi kama unataka chakula naomba niingie na matunda halafu niende nichukue chakula kwenye cafe za chuo mle ndani au za hosipital maana zile cafe wana msosi classic sana linasema cafe za ndani ni kwa ajiri ya wafanyakazi na wanafunzi si kwa ajiri ya wagonjwa. Ndo ikabidi niende kwa mamantilie nikachukua liugali na maharage.
Halafu lilivyo jinga hata kama una maji na soda hakuna kuingia linasema vinywaji siyo chakula.
SUMA upande mwingine ni wafitini sana. Wanawafitinisha wafanyakazi na mameneja maofisini.
Yaani walipo SUMA, watu kufukuzwa kazi ni kawaida.
Washenzi sana hawa mgambo
Na hasira za kukosa ajira tpdfWengi ni wehu wana stress za maisha tu
Sio mgambo wale ni vijana wa jktSUMA upande mwingine ni wafitini sana. Wanawafitinisha wafanyakazi na mameneja maofisini.
Yaani walipo SUMA, watu kufukuzwa kazi ni kawaida.
Washenzi sana hawa mgambo