Mods/admin tafadhali kuna uwezekano wa kuifanya hiyo post ya kwanza isionekane?
Ogah, mie bado natamani sana jamaa wa PSU waje hapa watupe elimu kuhusu kazi yao, kuna forum mmoja nilikuwa nakwenda kabla haijafungwa wamejazana jamaa wa Close Protection kutoka sehemu mbali mbali duniani alafu wengi wao walikuwa wanajuana.
Chini hapo ni intro documentary ya secret service, ninayo kwenye dvd najaribu kuicompress na kuiupload online.
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=00UixilvvsE]YouTube - National Geographic: Inside the U.S. Secret Service[/ame]